Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

Ivi unavyosema wazungu hawajashindwa sijui nini unadhani wazungu pekee ndio wana final say ya uumbaji na viumbe vinavyoishi chini ya hili jua? Unasahau kila mkuu ana mkuu wake kasoro Mungu?

Yaani from no where waweke sumu waafrika wote wafe then wakae salama? Inawezekana wamekufuru vya kutosha lakin wanajua kuna point wakifika nguvu iliyoumba inakuja itaonekana live yenyewe nzima nzima. Wanatamani ningekuwa ivo ila wanajua. So wanachojaribu kifanya ili wasidaiwe ni mpaka kuwe na concern ya muhusika either kutokana na ujinga ama njaa zake za tumbo na ukaidi wa kutofuata miongozo ya Nguvu iliyoumba.
 
Jamaa anasahau kabisa kwamba wazungu ni binadamu, na japo wanatamani kufanya hicho ila kuna limits pia za uvumilivu...
 
 

Wanaleta na ushoga wa ‘whole sale’ muache kuzaa kabisa
 
Pointless ujui unachozungumza kam mzung asingewepo kusingekuwa na maginjwa ya ajabu wao ndo wanafanya uharibu mkubwa dudi shule kasome.
Huu ndo ukoloni mambo leo ataki kutumia silaha za kutuuangamiza kwasbbu anajua nd vita ya dunia ya 3 uharibu utakuwa mkubwa na hizo technology azazitumia kuendesha dunia bila kuuwa wa africa kimaarifa bas sisi ndo tungekuwa mbali kuliko wao rudi shule kaka
 
 
Nchi zenye watu ndio zenye maendeleo makubwa. China na India zina watu wengi sana. Sisi Tanzania tupo Milioni 55 na kuzaliana sio shida. Watu wakiwa wengi uchumi unakua, bora kuwa na watu wengi wanaofanya kazi. Ndio maana nchi za Ulaya zinaungana"
One Child Policy in China.

Wingi wa watu sio sababu ya kuzidi kuendelea kwa China.

Serikali ilifanya mabadiliko ya sera kadhaa ndio sababu za China kuzidi kuendelea, miongoni mwa hizo sera ni One Child Policy.
 
One Child Policy in China.

Wingi wa watu sio sababu ya kuzidi kuendelea kwa China.

Serikali ilifanya mabadiliko ya sera kadhaa ndio sababu za China kuzidi kuendelea, miongoni mwa hizo sera ni One Child Policy.
China, India, USA, Russia, wamefanana vitu gani? Kiidadi ya watu na kiuchumi, kuna taifa masikini hapo? Watu wake wanaweza kuwa masikini ndio, lakini hayo ni mataifa yenye nguvu sababu ya idadi kubwa ya watu
 
China, India, USA, Russia, wamefanana vitu gani? Kiidadi ya watu na kiuchumi, kuna masikini hapo?
Sijaelewa swali lako hasa. Liweke vyema ili nipate kulielewa na kama ikiwezekana kulitolea ufafanuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…