Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

Hao ni wengi sana

Yaani hiyo 85% ndio wagawane hapo watu wa asili zinginezo.

Ila hivi wachina ni % ngapi pamoja na wahindi pia.

(Edited)
 
China, India, USA, Russia, wamefanana vitu gani? Kiidadi ya watu na kiuchumi, kuna taifa masikini hapo? Watu wake wanaweza kuwa masikini ndio, lakini hayo ni mataifa yenye nguvu sababu ya idadi kubwa ya watu
Naona umefanya baadhi ya marekebisho licha ya kuwa bado swali halija kaa sawa.

Wacha nikuulize swali moja.

Je, waifahamu hadithi ya maendeleo ya kasi ya kiuchumi ya Uchina ?
 
Wewe unaeifahamu iweke hapa na uco-relate na hoja yangu hiyo, kwamba nchi hizo zote zenye idadi kunwa ya watu ndio wana nguvu duniani, why?!
 
Ndio nimeuliza swali kwako ili nipate kujua nacho zungumza je wakifahamu ?! sera ya uzao/mtoto mmoja iliyo dumu kwa zaidi ya miaka 30 ?
 
Ni wapi nilisema naifahamu?
Wewe tumia hicho unachokifahamu kujibu hoja yangu, juu ya ukubwa wa uchumi na ukubwa wa idadi ya watu?
 
Nime kuuliza swali.

Kwa sababu ume ihusisha Uchina katika moja wapo ya maelezo yako kuhusu maendeleo yake na sababu ya ukubwa wa population yake.
 
Ukiniambia niangalie Botswana na mimi nitakuambia uangalie USA, Russia, China na India, what do they have in common?
Ni hatua gani U.S.A, Uchina, India, Urusi walichukua ili kupata maendeleo hili ni swali la msingi msana unalo paswa kujiuliza ?
 
Nime kuuliza swali.

Kwa sababu ume ihusisha Uchina katika moja wapo ya maelezo yako kuhusu maendeleo yake na sababu ya ukubwa wa population yake.
Sijui, wewe unaejua eleza huku ukijibu hoja sasa
 
Ni hatua gani U.S.A, Uchina, India, Urusi walichukua ili kupata maendeleo hili ni swali la msingi msana unalo paswa kujiuliza ?
Sawa, sasa si utueleze hizo hatua ili na sisi tuzichukue, ila jibu sasa hoja ya co-relation ya idadi ya watu na ukubwa wa uchumi wa hizo nchi
 
Nimekwisha kuuleza kuhusu sera ya One Child Policy iliyo chukuliwa na serikali. soma post ya kwanza niliyo repy.
 
Kwahiyo hiyo Sera ndio imesababisha China kuwa na watu wengi au umaanisha nini?

Hoja ni kujua uhusiano wa idadi ya watu wa hizo nchi na ukubwa wa uchumi wao? Ili tuone kama idadi kubwa ya watu ina co-relate vipi na ukubwa wa uchumi?
 
Hao ni wengi sana 15% si unajua hiyo ni robo ya watu wote duniani.

Yaani hiyo 85% ndio wagawane hapo watu wa asili zinginezo.

Ila hivi wachina ni % ngapi pamoja.na wahindi pia.
Tabla lasa, nyumbu, ndondocha, 15% ni robo ya watu wote duniani!?
Africa ndio yenye bara la pili kwa ukubwa, Africa ndio bara pekee lililo bakiwa na resources nyingi kuliko bara lolote
 
Kwahiyo hiyo Sera ndio imesababisha China kuwa na watu wengi au umaanisha nini?

Hoja ni kujua uhusiano wa idadi ya watu wa hizo nchi na ukubwa wa uchumi wao? Ili tuone kama idadi kubwa ya watu ina co-relate vipi na ukubwa wa uchumi?
Suala la watu wengi halina mahusiano na maendeleo ya China mfano ni hiyo sera niliyo kuuleza ambayo serikali ilichukua kudhibiti ongezeko la watu.
 
Na nchi zingine kama USA, Russia, India, hizi zote ni coincidence pia? Idadi ya watu kuwa kubwa na uchumi kuwa wenye nguvu, hii pia ni bahati mbaya, sivyo?
 
Kila taifa lilichukua hatua zake kupata maendeleo ya kasi ya kiuchumi
 
Safi, hata Afrika tumeshaanza, Mfano Rufiji hydropower, SGR nk, hizizote zinahitaji watu wa kutosha, Afrika ni ya pili kwa ukubwa duniani...
 
Hii idadi ya watu mliyo nayo mmeiendeleza kwa kiwango gani ?
 
Asilimia 50%, malengo ni kufika 100% kwa kutumia rasilimali kama Rufiji Hydropower dam
Afrika nimeishi nafahamu mengi kuhusu Afrika kiukweli bado ipo nyuma sana haihitaji watu kuendelea kuongezeka bila kudhibitika.

Ongezeko la watu lisipo zuiliwa umasikini utaendelea kuongezeka Afrika serikali za Afrika zibadilike
 
Back
Top Bottom