Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Umeona eh! Very shallow thinking ya mtoa mada! very very shallow!
Atleast mtoa mada ameleta na ushahidi sasa ww na ufala wako kazi kukoment “very shallow”
bwabwa ww
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona eh! Very shallow thinking ya mtoa mada! very very shallow!
Afrika nimeishi nafahamu mengi kuhusu Afrika kiukweli bado ipo nyuma sana haihitaji watu kuendelea kuongezeka bila kudhibitika.
Ongezeko la watu lisipo zuiliwa umasikini utaendelea kuongezeka Afrika serikali za Afrika zibadilike
Hao wachache ni hatari kuliko mabilioni weupe.Ni ushenzi na ushetani mkubwa sana. Kuna syndicate za kukimaliza kizazi cha black people kama kilivyomalizwa kizazi cha Red Indians huko Marekani. Kampeni kama zile zinazoendeshwa na kina Bill Gates, Makampuni ya mbegu kina Monsanto kwa kuratibiwa na Mashirika kama UNFPA , WHO na kadhalika zina lenga kuhakikisha kizazi cha watu weusi hakiongezeki na kinatoweka baada ya muda hata kama ni mrefu
Jambo la kushangaza ni kwamba watu weusi wa mwanzo kua brain washed na mabeberu hawa ni "wasomi' wetu. Ukieleza kuhusu mbinu chafu hizi zinazofanywa na wazungu basi ujue "wasomi" wetu watakwambia hizo ni Conspiracy Theories tu na hazina uhalisia ingawa ushahidi wa mambo hayo upo wazi kabisa
Ukweli ni kwamba walikua wanaua black race kwa silaha kupitia vita na hata kuchochea mapigano ya wenyewe kwa wenyewe. Sasa hivi wanatengeneza magonjwa kwenye maabara ili watu wafe na kupungua njia ambayo wanaona ni more ethical kuliko kuwauwa kwa vita!
Wewe una wangapi mkuu 14?. Kwanini kama hapana.Jinga kweli wewe, hujiulizi kwanini miaka ya sitini tu hapo mwanamke alikuwa akizaa watoto wachache basi ni watoto 12, mimi mwenyewe baba yangu ni mtoto wa 11 kati ya watoto 12 tena bila operesheni na kajifungulia nyumbani, wote walizaliwa salama! sasa nionyeshe ni wamama wangapileo hii wanauwezo wa kuzaa kama hivyo, kushika hata mimba moja tu hadi mkatapeliwa kwa dokta mwaka na kwa Mwingira, na tena kuzaa ni kwa operesheni, we huoni kuna vitu ambavyo tayari tunalishwa kidogo kidogo?
Achana na mawazo mgando adui wa mtu mweusi anafahamika ni mweusi mwenzake, mzungu anachagiza tu tuvaane.acha nikurudishe kwenye topic za form two/three kwenye somo la history.
anachotaka mzungu ni total control ya resources zote za africa.
africa ndio bara pekee lenye natural resources nyingi sana chini ya ardhi. lakini pia ndio bara ambalo chochote utakacho otesha juu ya ardhi yake lazime kichipue na kistawi,hapa namaisha mbegu za mazao yote ya chakula na mazao ya kibiashara.
na kukusaidia tu, hata hiyo hewa unayovuta bure, mzungu angekuwa na uwezo angeimiliki yeye halafu angekutengezea utaratibu wenye masharti mengi magumu ili uivute.
hii dunia acheni tu... ina wenyewe. soma article mbalimbali zinazozungumzia kikundi kidogo chenye nguvu cha familia 13 zenye udugu wa damu kinachoimiliki dunia( 13 illuminati bloodline families that control/own the world)
Safi mkuu tatizo la Afrika tushajua ni serikali zetu, we cheki kila wakipinduliwa unakuta mtu ana mabegi makubwa ya dollars.Haya ni mawazo ya kijiwe!!!Inferiority complex.Maviongoz ya africa mabinafs ambayo ni humanless ndio yanayoua kizazi kwa njaa,magonjwa na vita.Acha mawazo mgando kusingizia wazungu!!
Hayo ni sawa, tunachoongelea hapa ni kusambaziana magonjwa, madawa ya uzazi wa mpango nk. Au kusambaziana magonjwa na kuua vizazi kwa wanaume na wanawake ni sawa? Acha watu wazae kwa kadri ya wanavyoweza, kama mtu anaweza kuzaa watoto 10 aachwe, si analima yeye kwa jasho lake kulea familia yake, wao wanaumia nini?Wewe una wangapi mkuu 14?. Kwanini kama hapana.
Kabla ya kutuambia haya ya wazungu na hila zao, tunaziona hila za viongozi wetu katika masuala ya maendeleo kama kikwazo namba moja.
Nadhani Sub Saharan tuna matatizo sana katika suala la uongozi, na mtu mmoja mmoja.
Maisha yakiwa mazuri watu wataongezeka tu. Hao wa zamani set up ya maisha yao japo ilikuwa ni ya kijijini haikuwa na mahitaji mengi.
Mfano mtu anaolewa na miaka 14 au 16, anaeoa ana miaka 20 lazima watazaa wengi, siku hizi huo ni umri wa shule na suluba za ajira.
SASA HIVI SI WANATUITA TUKAWE WATUMWA HUKO HUKO ULAYA NA WATU WANAKIMBILIA. KILA MTU UTASKIA NATAKA KWENDA CANADA🤣.
NI SUALA LA SERIKALI ZETU DHAIFU ZINAZOTUPA SHIDA NA MATESO ZAIDI KULIKO HILA ZA MZUNGU.
CCM Oyee
Tumia walau hata 1% ya uwezo wako kufikiri tu, wazungu wangetaka kuwamaliza ingekuwa simple sana na wasingetumia hizo njia ndeefu za kuwahimiza mtumie uzazi wa mpango
Mnaagiza, nguo, dawa, vinywaji kama cocacola, sijui maji, juice, kutoka kwa wazungu, mkikumbwa na janga wazungu ndio wanawapa dawa na vyakula, sasa wazungu wangeamua kuweka kemikali zinazoua taratibu na au kuondoa uwezo wa kuzaa wasingeweza?
Vifaa vya umeme, ujenzi, magari, mafuta, vifaa vya jikoni n.k wangeamua kuviwekea hata kemikali zinazoua taratibu au kuharibu vizazi wasingeweza?
Hitler aliua wayahudi milioni 6 miaka ya 1940s, kwa kutumia sumu, silaha na njaa hivi wazungu wangetaka kuuwa Waafrika kipindi kile wanawatawala wasingeweza?
Mpo overpopulated kwa sababu hamuwezi kujilisha, mnaharibu vyanzo vya maji ,misitu, masalia ya samaki, hamuwezi kulima kilimo chenye tija, kila mwaka ikitokea ukame kidogo tu mnakufa kama kumbikumbi sababu mnategemea mvua hadi karne hii..! Kenya hapo mvua imekata kunyesha kidogo tu watu wanakufa tayari, likitokea janga kidogo mpaka wazungu waje wawasaidie
mfano nisaada ambayo mnapewa na wazungu kwenye kila janga kimbunga hapo msumbiji, malawi na zimbabwe, janga la ebola hapo DRC, na Afrika magharibi, Malaria mnapewa misaada ya dawa, UKIMWI ndio nyie mnaongoza mnapewa misaada ya ARV na Condom, Miji yenu hamuwezi kuipangilia, Hamna mifumo mizuri ya maji taka na maji safi, mpaka mje muwekewe na wazungu au wachina, milipuko ya kipindupindu haiishi
Wazungu unawaita mashetani ila kama sio hao wazungu pengine Ukimwi, njaa, ebola, na malaria zingekwishawamaliza nyie WATU WEUSI
Vijana wenu wanajitoa mhanaga ili tu wafike Ulaya au Uarabuni kufanya kazi za ndani
Yaani Waafrika hamuwezi kujiendesha na kujisimamia wenyewe kwa mpangilio mzuri mkiwa wachache kiasi hiki, mkizaliana na kujilimbikiza si ndio itakuwa balaa kabisa?
Mnapikia mkaa manakata miti yenu kwa kasi ya ajabu kiasi kwamba ndani ya miaka 50 ijayo mnaweza mkawa mmeimaliza, na vyanzo vya maji kukauka, hamuwaonei huruma hao watoto mtakao wazaa watakavyoteseka? Au unafikiri watazamia Ulaya na watapokelewa?
hamuwezi kutengeneza bidhaa zozozte zile, viwanda vya maana kwenye nchi zenu vinaendeshwa na na wahindi au waarabu vingine vyote mnaotoa China ama Ulaya
Inafaa mzaliane kwa uangalifu mpaye watoto mtakaoweza kuwapa huduma bora za afya, chakula, malezi na elimu bora,
Pengine wakiwa na elimu bora wataweza kujimudu zaidi kuliko kizazi cha sasa