Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

waafrica sisi ni wajinga sana. kila nikienda kijijni nakuta uharibifu mkubwa mno wa mazingira hadi unashangaa yaani hatujui kujiongoza. siku tukipata akiri tutakuwa mbaali sana ila sio leo wala kesho.
 
 
 
Ni ushenzi na ushetani mkubwa sana. Kuna syndicate za kukimaliza kizazi cha black people kama kilivyomalizwa kizazi cha Red Indians huko Marekani. Kampeni kama zile zinazoendeshwa na kina Bill Gates, Makampuni ya mbegu kina Monsanto kwa kuratibiwa na Mashirika kama UNFPA , WHO na kadhalika zina lenga kuhakikisha kizazi cha watu weusi hakiongezeki na kinatoweka baada ya muda hata kama ni mrefu

Jambo la kushangaza ni kwamba watu weusi wa mwanzo kua brain washed na mabeberu hawa ni "wasomi' wetu. Ukieleza kuhusu mbinu chafu hizi zinazofanywa na wazungu basi ujue "wasomi" wetu watakwambia hizo ni Conspiracy Theories tu na hazina uhalisia ingawa ushahidi wa mambo hayo upo wazi kabisa

Ukweli ni kwamba walikua wanaua black race kwa silaha kupitia vita na hata kuchochea mapigano ya wenyewe kwa wenyewe. Sasa hivi wanatengeneza magonjwa kwenye maabara ili watu wafe na kupungua njia ambayo wanaona ni more ethical kuliko kuwauwa kwa vita!
Kwani kizazi cha black people kikimalizwa wewe una hasara gani?

Au tukizaliana sana tukawa wengi kuliko weupe kuna faida gani?
 
Jinga kweli wewe, hujiulizi kwanini miaka ya sitini tu hapo mwanamke alikuwa akizaa watoto wachache basi ni watoto 12, mimi mwenyewe baba yangu ni mtoto wa 11 kati ya watoto 12 tena bila operesheni na kajifungulia nyumbani, wote walizaliwa salama! sasa nionyeshe ni wamama wangapileo hii wanauwezo wa kuzaa kama hivyo, kushika hata mimba moja tu hadi mkatapeliwa kwa dokta mwaka na kwa Mwingira, na tena kuzaa ni kwa operesheni, we huoni kuna vitu ambavyo tayari tunalishwa kidogo kidogo?
Hivi kwanini leo hii ni ngumu mtu kupata watoto 10-13? RRONDO
 
Kwani kizazi cha black people kikimalizwa wewe una hasara gani?

Au tukizaliana sana tukawa wengi kuliko weupe kuna faida gani?
Kama hiyo akili tu ya kujijibu hayo maswali huna basi hukufaa kuingia kwene huu uzi!!
Nenda facebook kwa watoto wenzio
 
Kama hiyo akili tu ya kujijibu hayo maswali huna basi hukufaa kuingia kwene huu uzi!!
Nenda facebook kwa watoto wenzio
Hayo maswali siyo marahisi kama unavyodhani.

Ulishawahi kusikia kitabu kinaitwa WHY DOES THE WORLD EXIST?

Kwa hoja ya kuniambia niende facebook, nitaenda, na ninataka kukutaarifu kuwa, JF siku hizi watu wenye upeo wanazidi kuipa kisogo, wanawapisha nyie msiojua hata maana ya mijadala.

JF ilikuwa zamani, siyo leo ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom