Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

Waafrica hatupendi kufanya kazi halafu tunapenda kuzaliana, halafu misaada tunawatengemea wazungu wacha tu watumalize, kwanza Waafrica sioni kama tuna faidi sana sana ss ni mizingo tu
Race zote zimetokea africa, we are a precious pool of genomic diversity, very indispensable. Ignorant.. self hater!
 
Bwabwa jasiri wewe! Tunazungumza kuhusu kilimo cha kisasa cha large scale farming, wewe unazungumza kuhusu mapori ya kulima kwa jembe la mkono? Are you serious! ?

Huo ndio uchumi aliokufundisha mama'ko?
Wapi nimeandika ukalime jembe la mkono, au unapost huku umekalia kitu kigumu?
 
Na balaa la ukimwi walilotuletea na magonjwa mengine ya kuleta, lazima tutafikia asilimia 2 na hapo ndio tutageuka vivutio vya utalii al maarufu kama endangered species!
 
Na balaa la ukimwi walilotuletea na magonjwa mengine ya kuleta, lazima tutafikia asilimia 2 na hapo ndio tutageuka vivutio vya utalii al maarufu kama endangered species!
Ni kama Aborigines kue Australia, wameaki wachache kama Faru mweupe na wanalindwa kama 'endangered species', ila walianza kupunguzwa huko Australia kidogo kidogo kama masikhara vile kuja kushutuka ni wamabaki 100 sijui, kama Red Indians huko North America.
 
Haaa.., usiniambie hujui kwamba race zote duniani zimetokea East Africa, ooh God, usiniambie you are that ignorant!!
Hapa naona kama wanatung'ata kisha wanapuliza kutufariji kuwa siai ni chanzo cha humanity.
Wamekudanganya na wewe umeamini ujinga.
 
Hapa naona kama wanatung'ata kisha wanapuliza kutufariji kuwa siai ni chanzo cha humanity.
Wamekudanganya na wewe umeamini ujinga.
Genetic mapping ya genome za race zote duniani zimeweza kuwa traced back to East Africa in particular, weupe n igenetic mutation waliyoipata baada ya kwenda sehemu zenye baridi nje ya Africa, ila binadamu waote walitokea Africa, na most likely walikuwa weusi, mdio maana mtu mweusi akizaa na race nyingine yeyote ile mtoto anatoka very robust na anathrive vizuri sana, wenyewe tunaita point 5, kama ni msichana anatoka mzuri sana , kama ni wa kiume anatoka poa sana. Ila changanya lets say mchina na mhindi uone balaa lake
 
Achana na walichosema wengine, sema wewe, hao nitawajibu kwa nafasi yao, ongea wewe hoja yako.
Kumbe wewe mpuuzi mkubwa, mbona unatukana kila mahali. sasa nitakutukana nifungiwe, potelea mbali! Kwanini usiwe na adabu. angalia kila mmoja anakushushua !
 
Big up mkuu!

Hawa ndo wasomi wetu,matatizo yao kukimbilia wa kumlaumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwe una fikiri kabla hata ya kuanza lawama hauna uwezo wa kuishi bila kisaidiwa shwaini we. Mnalishwa eee muongezeke tu si mtaishia kuishi kama minyani mrudi maporini. Hujawahi kufanya jambo lolote la maana aridhi ya rutuba inapungua joto linaongezeka mtajifia tu. Maradhi mapya ni kwenu tu unachosema ni ujinga kuoverpower wazungu na mkiwamaliza mtaishije. Kuna wajinga furani wanaenda ulaya kuwafanyia fujo huku vimafita vyao bila wale nani atavinunua
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulaya ndiyo said na hasa wazungu. Mpaka wameanzosha IVF sasa has wa ulaya naomi wanauliwa taratibu? Mimi nadhani ni mfano wa maisha utakavyoamua kuishi vipi, na ule vipu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimeduwaa tu hapa.. naona facts vs opinions

Hao wazungu wanazaliana kwa kiasi gani na je uchumi wao upo kwa kiasi gani???....

Huwezi kuwa na uchumi unaokua kwa asilimia 7 halafu mkazaliana kwa asilimia 5 per year na mkategemea kuhisi lile ongezeko...

Truth is Waafrika tunazaliana hovyo bila mpangilio ndio maana tunakuwa na unproductive population.. Wazungu wanachofanya ni kuwa na controlled population ilhali ni productive..

Human development index yenyewe tunatia aibu.mortaliry rate ipo high na bado kuna mtu anadhani kuzaliana ni solution..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je ni sahihi kuzaa watoto kumi na unaweza kuwahudumia wawili? Kisa tu uzazi wa mpango umekuwa introduced na wazungu?!
na mimi nikuulize, ni makosa kuzaa watoto kumi?. kuna uhusiano gani wa kuzaa watoto kumi na kuwahudumia?.
ukijibu bila mihemuko au emotions nitarudi kujibu swali lako.
 
Kumbe wewe mpuuzi mkubwa, mbona unatukana kila mahali. sasa nitakutukana nifungiwe, potelea mbali! Kwanini usiwe na adabu. angalia kila mmoja anakushushua !
Hoja iko wapi hapo sasa, halafu achana na wengine kinishushua, hao nitawajiu kwa nafasi yao, leta wewe hoja yako
 
Family moja huko Western Europe ilikuwa matatani baada ya kupata mtoto mweusi ihali wao ni wazungu, dna ime prove ni mtoto wao, madoctor waliieleza family hio kuwa pengine ni zaidi ya 5 generation waliowana between African and western.

Mungu mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Beberu umetema Cheche na mabeberu wenzako wamekupa like

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umeniliza machozi kbs kwa kweli, tumelaaniwa sisi Waafrika kbs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…