Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

Chakushangaza wanamiliki 85% ya matatizo yote duniani njaa wao ukeketaji wao uhamiaji haramu wao ukimwi wao,
Nan hao mkuu..kwan na wao wanakeketwa

you may not start conversation with the following recipient;Tairus
 
Hiyo ilikuwa study na katika study huwa kuna ethics zake especially kama unainvolve human being ,,,,kilichofanyika kwa watu wale katika kusoma natural history of disease walichukua hao jamii ya watu weusi wakawa wana wainoculate wadudu wa syphilis 'spirochetes then wanawaangalia wanaishia wapi ,,,of course haikuwa fair ndo maana sasa hivi ukiwa unafanya study utapitia hatua nyingi sana especially kama inahusu binadamu,,,,lakin ile haikuwa na lengo LA kupunguza weusi ni taratibu tu hazikufuatwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah..., kumbe najadili na taahira?
 
Na ukongwe wako wote unaulizwa swali unakimbilia google ....unapoleta uongo na mihemuko yako humu utaumbuka .....hivi vitu tunavijua na hatu google kama kilaza wewe .....kama mnaona wanataka kuwaua sana kataeni na dawa zao muone tutavyozikana

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa, as if google imepigwa marufuku kuwa chanzo cha ku-refer source ya taarifa. Maana nikisema kwa kufahamu kwangu mnasema ni hisia zangu, naweka evidence unasema nakimbilia google. Sasa huu si utaahira?
 
Nilimkubali Sana magu alipoongea wazi kuhusu kuzaa na kuwa na watoto wengi unapokuwa na uwezo.

Tatizo letu tumekaririshwa kuwa ukiwa na watoto wachache ndio unakuwa na maisha mazuri.
Sijawahi kuona tajiri sababu ya kuwa na watoto wachache.!!
Unaridhika tu na tuhela twa kutosha kusomesha hao watoto na ndio mnaishia hapo.
Na kagari ka kutembelea

Sent using Jamii Forums mobile app
Bill gates pamoja na utajiri wake mbona hana watoto 10, ila Akon muafrika mwenzetu ana wake 8.
Lazima tukubali kuwa kipato kikiwa constant na ukiwa na watoto wachache una nafasi nzuri ya kuwahudumia mahitaji yao ya msingi kama chakula, mavazi, malazi, matibabu na elimu pia.
Hii kutegemea nature itatu cost uliza zamani shamba la ekari moja bila mbolea lilikua linatoa kiasi gani cha mazao halafu linganisha hilo hilo shamba kwa wakati huu halafu ndio uige kupata watoto 12 kama wazee wetu wa zamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ushenzi na ushetani mkubwa sana. Kuna syndicate za kukimaliza kizazi cha black people kama kilivyomalizwa kizazi cha Red Indians huko Marekani. Kampeni kama zile zinazoendeshwa na kina Bill Gates, Makampuni ya mbegu kina Monsanto kwa kuratibiwa na Mashirika kama UNFPA , WHO na kadhalika zina lenga kuhakikisha kizazi cha watu weusi hakiongezeki na kinatoweka baada ya muda hata kama ni mrefu

Jambo la kushangaza ni kwamba watu weusi wa mwanzo kua brain washed na mabeberu hawa ni "wasomi' wetu. Ukieleza kuhusu mbinu chafu hizi zinazofanywa na wazungu basi ujue "wasomi" wetu watakwambia hizo ni Conspiracy Theories tu na hazina uhalisia ingawa ushahidi wa mambo hayo upo wazi kabisa

Ukweli ni kwamba walikua wanaua black race kwa silaha kupitia vita na hata kuchochea mapigano ya wenyewe kwa wenyewe. Sasa hivi wanatengeneza magonjwa kwenye maabara ili watu wafe na kupungua njia ambayo wanaona ni more ethical kuliko kuwauwa kwa vita!
Kweli Mkuu ila na sisi tunachangia.kuna professor mmoja wa SUA mwaka jana kama sijakosea alikuwa anapigia Debe sana Kilimo cha GMO kianzishwe huku akijua Fika madhara yake.
 
Kweli Mkuu ila na sisi tunachangia.kuna professor mmoja wa SUA mwaka jana kama sijakosea alikuwa anapigia Debe sana Kilimo cha GMO kianzishwe huku akijua Fika madhara yake.
Kwa sababu ya ubinafsi wawatu weusi ndio miradi mingi ya kutuumiza inatekelezwa. Hapo Professor aliangalia kwanza tumbo lake
 
Kweli Mkuu ila na sisi tunachangia.kuna professor mmoja wa SUA mwaka jana kama sijakosea alikuwa anapigia Debe sana Kilimo cha GMO kianzishwe huku akijua Fika madhara yake.
Tungekua tegemezi wa chakula na pia tungelishwa hayo mashudu ya kijenetiki hadi tuishe wote!
 
Kama huyu kilaza hatakuelewa kwa maelezo haya hakuna chochote atakachoweza kuwelewa kuhusu overpopulation.
Tumia walau hata 1% ya uwezo wako kufikiri tu, wazungu wangetaka kuwamaliza ingekuwa simple sana na wasingetumia hizo njia ndeefu za kuwahimiza mtumie uzazi wa mpango

Mnaagiza, nguo, dawa, vinywaji kama cocacola, sijui maji, juice, kutoka kwa wazungu, mkikumbwa na janga wazungu ndio wanawapa dawa na vyakula, sasa wazungu wangeamua kuweka kemikali zinazoua taratibu na au kuondoa uwezo wa kuzaa wasingeweza?

Vifaa vya umeme, ujenzi, magari, mafuta, vifaa vya jikoni n.k wangeamua kuviwekea hata kemikali zinazoua taratibu au kuharibu vizazi wasingeweza?

Hitler aliua wayahudi milioni 6 miaka ya 1940s, kwa kutumia sumu, silaha na njaa hivi wazungu wangetaka kuuwa Waafrika kipindi kile wanawatawala wasingeweza?

Mpo overpopulated kwa sababu hamuwezi kujilisha, mnaharibu vyanzo vya maji ,misitu, masalia ya samaki, hamuwezi kulima kilimo chenye tija, kila mwaka ikitokea ukame kidogo tu mnakufa kama kumbikumbi sababu mnategemea mvua hadi karne hii..! Kenya hapo mvua imekata kunyesha kidogo tu watu wanakufa tayari, likitokea janga kidogo mpaka wazungu waje wawasaidie

mfano nisaada ambayo mnapewa na wazungu kwenye kila janga kimbunga hapo msumbiji, malawi na zimbabwe, janga la ebola hapo DRC, na Afrika magharibi, Malaria mnapewa misaada ya dawa, UKIMWI ndio nyie mnaongoza mnapewa misaada ya ARV na Condom, Miji yenu hamuwezi kuipangilia, Hamna mifumo mizuri ya maji taka na maji safi, mpaka mje muwekewe na wazungu au wachina, milipuko ya kipindupindu haiishi

Wazungu unawaita mashetani ila kama sio hao wazungu pengine Ukimwi, njaa, ebola, na malaria zingekwishawamaliza nyie WATU WEUSI

Vijana wenu wanajitoa mhanaga ili tu wafike Ulaya au Uarabuni kufanya kazi za ndani

Yaani Waafrika hamuwezi kujiendesha na kujisimamia wenyewe kwa mpangilio mzuri mkiwa wachache kiasi hiki, mkizaliana na kujilimbikiza si ndio itakuwa balaa kabisa?

Mnapikia mkaa manakata miti yenu kwa kasi ya ajabu kiasi kwamba ndani ya miaka 50 ijayo mnaweza mkawa mmeimaliza, na vyanzo vya maji kukauka, hamuwaonei huruma hao watoto mtakao wazaa watakavyoteseka? Au unafikiri watazamia Ulaya na watapokelewa?

hamuwezi kutengeneza bidhaa zozozte zile, viwanda vya maana kwenye nchi zenu vinaendeshwa na na wahindi au waarabu vingine vyote mnaotoa China ama Ulaya

Inafaa mzaliane kwa uangalifu mpaye watoto mtakaoweza kuwapa huduma bora za afya, chakula, malezi na elimu bora,
Pengine wakiwa na elimu bora wataweza kujimudu zaidi kuliko kizazi cha sasa

Loyalty To country Alyways,To government When it deserves
 
watu bana ....black skinned race is just an experimental designed species for purposes.....

kukifuta kizazi cheusi inawezekana kabisa tena within fractional min of a day but haiwez tokea coz kipo kwa ajili ya experimantal flani flan...kinatakiwa kuwa kinapewa misaada ili kiendelee kuwepo ili kufanikisha mambo ya hao watu kutoka pande zile za baridi na moderate hot countries.
 
Juhudu kubwa zimekuwa zikifanywa na mataifa ya magharibi kuhakikisha idadi ya waAfrika weusi inabaki kuwa minority na hivyo oppressed zaidi duniani. Hili limefanyika kwa kusambaza magonjwa ya kuua watu wengi kwa mpigo kama 'Ebola', 'ARV na Ukimwi' , Tuskegee syphilis experiment - Wikipedia , 'Uzazi wa mpango' ambao huwa unafadhiliwa sana na wamarekani kwa kuanzisha mashirika yanayogonga hodi nyumba hadi nyumba na kuwanywesha vidonge akina mama na akina dada kwa kuwalaghai, inafikia hatua wale wadada wanaozunguka hulipwa bonus pale wanapofanikiwa kuwanywesha vidonge vya uzazi akina mama wengi, kuna mmoja alipewa zawadi ya IST baada ya kufanikwa kutembelea nyunba 2,000 na kufanikiwa kuwashawishi akina mama wengi mno kufunga vizazi.

Sasa sielewi haya mashirika yanaruhusiwa vipi na mamlaka zetu kuja huku kwetu Afrika eti kuendesha kampeni za kufunga vizazi kwa wanaume na wanawake, tena wanatumia matrilioni kufanikisha lengo lao.

Kule South Africa kuna afisa wa kikaburu enzi za apartheid alikiri hapa majuzi kwamba walifanya juhudi kubwa kuhakikisha watu weupe wanakuwa wengi south Africa kuliko weusi lakini walishindwa kutokana na watu weusi kupenda sana ngono, hivyo wakaamua kusambaza Ukimwi kwa makusudi ili watu waache kufanya ngono bila condom na hivyo kupata mimba kwa wingi, pia walitumia chanjo feki zenye kemikali za kuua viungo vya uzazi kwa wanaume na wanawake ili wasiweze kushika mimba, lakini bado haikutosha, wasauzi weusi waliendelea kufyatua tu kwa spidi, hadi ilipofika 1994 wakasalimu amri kwa dushe la kiafrika.
Naomba tusikubali kumalizwa kizembe , tufyatue kwa kasi, waAfrika weusi tupo wachache sana hapa duniani, ni less than 15% ya population ya dunia, tumedanganywa kwa tuna overpopulation lakini hakuna kitu kama hicho, ni hila za shetani mweupe!

Kule Australia walianza kama utani hivi hivi, kulikuwa na watu weusi wazawa walikuwa wanitwa Aborigines, ambao walikuwa wameishi huko Australia kwa malaki na malaki ya miaka, lakini ndani ya miaka 150 tu waingereza waliendesha hila kama hizi za kuwaangamiza ili waweze kuingiza kizazi cha wazungu kule Australia, basi walikuwa wanalipa dollar 5 kwa kila kichwa cha Aborigine utakacho kipeleka ofisi ya exterminator, basi waliuawa na kumalizwa hadi leo hawapo kabisa, same case iliwatokea Red Indians huko USA, walianza kama utani hawa wazungu, mwishowe Red indians wamebaki historia, Waafrika tusikubali kumalizwa kama Aborigines na Red Indians, tena yaan sisi tuna bahati tu kwa sababu tunapenda sana ngono, ila tungekuwa wavivu kama WaJapan leo hii tungeshabaki historia..!!!

Kule Rwanda mbelgiji alipandikiza chuki ya kikabila na kuchochea mauaji ya kimbari, kila mahali wanapandikiza na chuki za kidini na kuleta mapigano ya wenyewe kwa wenyewe na kutuacha tuna malizana kwenye civil wars za kijinga kabisa...!!! Tusiingie kwenye hii mitego.

wapunguze na zile ripoti sijui furahaa,bangi,wajinga,kula,pesa.
unajua afrika tatizo ni sisi wa afrika wenyewe siwezi kukubali wewe ukileta mabadiliko.hili ndilo tatizo
 
Halafu cha ajabu wanaoswma hivyo ni wasomi wetu. Hili swala la kupangiana kuzaa huwa silikubali kabisa.
Acha kulalamika ujinga,nani amekuzuia kuzaa watoto wengi?hapa Tanzania unaruhusiwa kuzaa hata watoto 500 hakuna Sheria inayozuia mtu kuzaa watoto wengi.
 
Jinga kweli wewe, hujiulizi kwanini miaka ya sitini tu hapo mwanamke alikuwa akizaa watoto wachache basi ni watoto 12, mimi mwenyewe baba yangu ni mtoto wa 11 kati ya watoto 12 tena bila operesheni na kajifungulia nyumbani, wote walizaliwa salama! sasa nionyeshe ni wamama wangapileo hii wanauwezo wa kuzaa kama hivyo, kushika hata mimba moja tu hadi mkatapeliwa kwa dokta mwaka na kwa Mwingira, na tena kuzaa ni kwa operesheni, we huoni kuna vitu ambavyo tayari tunalishwa kidogo kidogo?
Kama babako alikuwa na watoto11,basi wewe zaa 22 hakuna anayekuzuia.
 
Acha kulalamika ujinga,nani amekuzuia kuzaa watoto wengi?hapa Tanzania unaruhusiwa kuzaa hata watoto 500 hakuna Sheria inayozuia mtu kuzaa watoto wengi.
Hujui unachokiongea wewe hizo NGO's za mpango wa uzazi na masharti kibao yanayotoka nje kupunguza kuzaa ili kupata msaada ni kwa ajili ya nani? Shika adabu yako sio unafikiri kila mtu ni mjinga wa kufikiri kama wewe unaojua kutukana tu maana ndicho kilicho ujaza ubongo wako.
 
Overpopulation ya Africa ni kwamba waafrica hawawezi kujilisha. Population ya Africa bado ni ndogo Ila population inavyoongezeka na umaskini unaxidi kuongezeka
Juhudu kubwa zimekuwa zikifanywa na mataifa ya magharibi kuhakikisha idadi ya waAfrika weusi inabaki kuwa minority na hivyo oppressed zaidi duniani. Hili limefanyika kwa kusambaza magonjwa ya kuua watu wengi kwa mpigo kama 'Ebola', 'ARV na Ukimwi' , Tuskegee syphilis experiment - Wikipedia , 'Uzazi wa mpango' ambao huwa unafadhiliwa sana na wamarekani kwa kuanzisha mashirika yanayogonga hodi nyumba hadi nyumba na kuwanywesha vidonge akina mama na akina dada kwa kuwalaghai, inafikia hatua wale wadada wanaozunguka hulipwa bonus pale wanapofanikiwa kuwanywesha vidonge vya uzazi akina mama wengi, kuna mmoja alipewa zawadi ya IST baada ya kufanikwa kutembelea nyunba 2,000 na kufanikiwa kuwashawishi akina mama wengi mno kufunga vizazi.

Sasa sielewi haya mashirika yanaruhusiwa vipi na mamlaka zetu kuja huku kwetu Afrika eti kuendesha kampeni za kufunga vizazi kwa wanaume na wanawake, tena wanatumia matrilioni kufanikisha lengo lao.

Kule South Africa kuna afisa wa kikaburu enzi za apartheid alikiri hapa majuzi kwamba walifanya juhudi kubwa kuhakikisha watu weupe wanakuwa wengi south Africa kuliko weusi lakini walishindwa kutokana na watu weusi kupenda sana ngono, hivyo wakaamua kusambaza Ukimwi kwa makusudi ili watu waache kufanya ngono bila condom na hivyo kupata mimba kwa wingi, pia walitumia chanjo feki zenye kemikali za kuua viungo vya uzazi kwa wanaume na wanawake ili wasiweze kushika mimba, lakini bado haikutosha, wasauzi weusi waliendelea kufyatua tu kwa spidi, hadi ilipofika 1994 wakasalimu amri kwa dushe la kiafrika.
Naomba tusikubali kumalizwa kizembe , tufyatue kwa kasi, waAfrika weusi tupo wachache sana hapa duniani, ni less than 15% ya population ya dunia, tumedanganywa kwa tuna overpopulation lakini hakuna kitu kama hicho, ni hila za shetani mweupe!

Kule Australia walianza kama utani hivi hivi, kulikuwa na watu weusi wazawa walikuwa wanitwa Aborigines, ambao walikuwa wameishi huko Australia kwa malaki na malaki ya miaka, lakini ndani ya miaka 150 tu waingereza waliendesha hila kama hizi za kuwaangamiza ili waweze kuingiza kizazi cha wazungu kule Australia, basi walikuwa wanalipa dollar 5 kwa kila kichwa cha Aborigine utakacho kipeleka ofisi ya exterminator, basi waliuawa na kumalizwa hadi leo hawapo kabisa, same case iliwatokea Red Indians huko USA, walianza kama utani hawa wazungu, mwishowe Red indians wamebaki historia, Waafrika tusikubali kumalizwa kama Aborigines na Red Indians, tena yaan sisi tuna bahati tu kwa sababu tunapenda sana ngono, ila tungekuwa wavivu kama WaJapan leo hii tungeshabaki historia..!!!

Kule Rwanda mbelgiji alipandikiza chuki ya kikabila na kuchochea mauaji ya kimbari, kila mahali wanapandikiza na chuki za kidini na kuleta mapigano ya wenyewe kwa wenyewe na kutuacha tuna malizana kwenye civil wars za kijinga kabisa...!!! Tusiingie kwenye hii mitego.
 
Tumia walau hata 1% ya uwezo wako kufikiri tu, wazungu wangetaka kuwamaliza ingekuwa simple...overpopulated kwa sababu hamuwezi kujilisha, mnaharibu vyanzo vya maji ,misitu, masalia ya samaki, hamuwezi kulima kilimo chenye tija, kila mwaka ikitokea ukame kidogo tu mnakufa kama kumbikumbi sababu mnategemea mvua hadi karne hii..! Kenya hapo mvua imekata kunyesha kidogo tu watu wanakufa tayari, likitokea janga kidogo mpaka wazungu waje wawasaidie
mfano nisaada ambayo mnapewa na wazungu kwenye kila janga kimbunga hapo msumbiji, malawi na zimbabwe, janga la ebola hapo DRC, na Afrika magharibi, Malaria mnapewa misaada ya dawa, UKIMWI ndio nyie mnaongoza mnapewa misaada ya ARV na Condom, Miji yenu hamuwezi kuipangilia, Hamna mifumo mizuri ya maji taka na maji safi, mpaka mje muwekewe na wazungu au wachina, milipuko ya kipindupindu haiishi
Wazungu unawaita mashetani ila kama sio hao wazungu pengine Ukimwi, njaa, ebola, na malaria zingekwishawamaliza nyie WATU WEUSI
Vijana wenu wanajitoa mhanaga ili tu wafike Ulaya au Uarabuni kufanya kazi za ndani
Yaani Waafrika hamuwezi kujiendesha na kujisimamia wenyewe kwa mpangilio mzuri mkiwa wachache kiasi hiki, mkizaliana na kujilimbikiza si ndio itakuwa balaa kabisa?
Mnapikia mkaa manakata miti yenu kwa kasi ya ajabu kiasi kwamba ndani ya miaka 50 ijayo mnaweza mkawa mmeimaliza, na vyanzo vya maji kukauka, hamuwaonei huruma hao watoto mtakao wazaa watakavyoteseka? Au unafikiri watazamia Ulaya na watapokelewa?
hamuwezi kutengeneza bidhaa zozozte zile, viwanda vya maana kwenye nchi zenu vinaendeshwa na na wahindi au waarabu vingine vyote mnaotoa China ama Ulaya
......

A typical script from psychological warfare text, if it exists. Sic.

Unfounded, often wrong, with an idea to corrupt the minds.

Your Ideas, do not work in Tanzania.
 
Overpopulation ya Africa ni kwamba waafrica hawawezi kujilisha. Population ya Africa bado ni ndogo Ila population inavyoongezeka na umaskini unaxidi kuongezeka
Afrika haijashindwa kujilisha, na at full potential (with the right population) basi tunaweza kuilisha dunia.
 
A typical script from psychological warfare text, if it exists. Sic.

Unfounded, often wrong, with an idea to corrupt the minds.

Your Ideas, do not work in Tanzania.
Wanacheza na saikolojia zetu tujione hatuna tunachoweza, won't work this time.
 
Back
Top Bottom