Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

UNFPA

03321E7A-8F68-45FE-A189-23BEBF64E481.jpeg
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂


 
 
 
 
Update: 07/10/2021
Baada ya watu kushangaa chanjo ya Corona kupatikana kwa kasi ya ajabu huku ya Malaria ikichukua zaidi ya karne, ghafla, na chanjo ya malaria imepatika, WHO waidhibitisha 😂😂😂😂😂

 
 
 
 
 
 
Sababu inaweza isiwe idadi ya waafrika, bali resources wanazokalia... Africa has everything mkuu!!
 
Resources ni factor moja wapo kubwa katika jituhada zao hizo
Lakini resource kubwa ni waafrica wenyewe, sio dhahabu wala nn, dhahabu wameipa thamani wenyewe, kwa hiyo msikariri kua dhahabu na vingine ndo resource. Ila muafrika ni resource kubwa genetically tulivoumbwa, tunaubunifu na uwezo wa kufanya mengi, na wazungu wanataka watu control kwenye mambo yao. Tusingekua ni reaource wala wasingehangaika na ss. Maana kama ni ardhi wanayo, kama ni hali ya hewa nzuri, ulaya kuna hali ya hewa nzuri kuliko huku, kama ni maziwa, bahari na mito, vyote wanavyo
 
Back
Top Bottom