Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Sio kwamba mnyama nyumbu alipenda kuzaliwa hana akili mbungani hapana ni nature tu iliamua kwa ujinga wake awe kitoeo rahisi kwa wanyama wengine.
Hata sisi kwetu waafrika weusi nature tu imeamua sisi kuzaliwa kama nyumbu kuwa wajinga kupitiliza ili races zingine zinufahike na ujinga wetu.
Binafsi nimejikatia tamaa sioni nuru juu ya jamii yangu ya waafrika weusi mbele naona kiza kizito tu hakuna mabadiliko.
Nature imeamua sisi kuwa hivi tulivyo let's enjoy life hakuna mabadiliko yoyote ndugu zangu.