Waafrika weusi wafurushwa Tunisia baada ya amri ya Rais

Waafrika weusi wafurushwa Tunisia baada ya amri ya Rais

Kajifunze kingereza nini maana ya neno "crusade", lina maana nyingi tu.
Hata hivyo Bush hakuna sehemu alisema anampigania Mungu, kumbuka hata huko Uarabuni kuna mataifa yalijiunga kwenye upande wake.
Lakini nyie laana yenu ipo kwenye kumuabudu mwarabu ambapo mumeiharibu dunia, sasa hapo mnavamia kijiji cha watu maskini waafrika weusi wenzenu na kuwachinja kisa mwarabu na dini yake.
Are you ok upstairs au ni mental case!?
 
Kwa kweli watu weusi ni vinara wa Uhalifu kwenye nchi za North Africa, Morocco, Algeria , Tunisia. Nazungumza kwa ufahamu kabisa, Wao ndio wauza ngada, Bangi, Matapeli, Hela feki, Wanaingia kwa Visa feki, Passport feki. Kiufupi ishu mbaya zote zinabebwa na wao.

Kiukweli tuna matukio mabaya sana nchi za watu, halafu tunabaki kulalamika na kutilisha huruma tu.
 
Hivi kuna kosa gani kutimua illegal immigrants ndani ya nchi yako? Mbona sisi hapa TZ kila siku tunakamata wasomali na wa Ethiopia? watu weusi tuache kulia lia
 
Are you ok upstairs au ni mental case!?

hehehe hapo sasa unaweza ukamlipukia mtu yeyote kwa bomu...yote hiyo kisa huyo muarabu mnayemuabudu ambaye bila huruma alinyandua katoto.
 
Na sisi tumfikuze kocha wa wananchi!?
 
Back
Top Bottom