Waafrika wote wa jinsia ya kike na ya kiume wanapenda sana kufikiria masuala ya mapenzi zaidi.

twenty2

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
296
Reaction score
32
Ni kweli kwa mtazamo wangu na utafiti wangu waafrika wengi wanapenda sana kufikiria masuala ya mapenzi zaidi kuliko masuala ya maendeleo zaidi,mfano watu wengi wakiwa na mawasiliano ya jinsia tofauti hukifuatilia chazaidi wanacho wasiliana ni mapenzi na sio kujadili mambo mengine yanayoweza kuleta maendeleo nchini.pia waafrika haohao wanapenda sana kufuatilia mambo ya starehe zaidi kuliko mambo yanayoendelea katika nchi yake.mfano mtu anahacha kufuatilia bunge linavyoendelea or habari zinazoendelea nchini.
 
Utafiti wako umehusisha Waafrika ukilinganisha na nani?
 
Ndo starehe iliyobakia na sometimes ni affordable!
 
Mi napenda sana kufikiria sijui wewe
 
Basi mimi sio mwafrika maana mara nyingi mawazo yangu yako kwenye desh desh...kitabu na chapaa!!
 
Dada 22,
kwanza: angalia user view wa jukwa la siasa alafu linganisha na jukwaa zingine, utaona hujasema kweli.
Pili: hata kama ingekua kweli, I think it is because they can afford it. Huna haja ya kununua gazeti, kua na TV ao kua msomi kwa kujadili maswala ya mapenzi. Cheki latin america, cheki asia, movies zao ni za mapenzi tu, kama sisi. na hata ulaya na america utakuta watu masikini masikini wanaenjoy sana kuangalia movies za mapenzi na kuzungumzia mapenzi.
Tatu: Kwa mtu kujadili maswala ya mandeleo he needs to be exposed to maendeleo ao kufaham kwamba maoni yake yatachukuliwa kwa thamani yake na kufanyiwa kazi. kama sivyo basi ni udaku tu kama ungine coz hana impact. kumbe bora tujikalie MMU hapa, at least tunakua na impact. lol
 
wazungu ndio usiseme wametuacha mbali, yani kwao ni basic need, ukiwa umeshikwa na libido meneja anakupa ruhus ukamalize kiu zako.
 
Kwa hiyo kwa mtazamo wako wazungu hawafikirii mapenzi kuliko waafrika? nani kati yao ameweka mambo ya ngono kipaumbele, mavitabu wao, mapono movie wao, guys/lesbian embu fikiria hilo, labda ungesema dunia nzima sio waafrika tu
 

nafikiri mchango wako una ka_ukweli ingawa si kwa sana
 
Hivi kwa nini Wahindi na Wachina wako wengi sana? Je, inaweza ikawa ni kwa sababu wanangonoka sana? Kwa sababu ukifikiria, kwani watu wanazaliwaje?
 
wazungu ndio usiseme wametuacha mbali, yani kwao ni basic need, ukiwa umeshikwa na libido meneja anakupa ruhus ukamalize kiu zako.
tena kuna mitaa ambayo wauzaji wana leseni na vyeti vya afya ili iyo huduma iwepo hata kwa asiye na mwenza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…