twenty2
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 296
- 32
Ni kweli kwa mtazamo wangu na utafiti wangu waafrika wengi wanapenda sana kufikiria masuala ya mapenzi zaidi kuliko masuala ya maendeleo zaidi,mfano watu wengi wakiwa na mawasiliano ya jinsia tofauti hukifuatilia chazaidi wanacho wasiliana ni mapenzi na sio kujadili mambo mengine yanayoweza kuleta maendeleo nchini.pia waafrika haohao wanapenda sana kufuatilia mambo ya starehe zaidi kuliko mambo yanayoendelea katika nchi yake.mfano mtu anahacha kufuatilia bunge linavyoendelea or habari zinazoendelea nchini.