Kibingu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2022
- 1,078
- 1,445
Leo mkuu wa shirika la haki za binadamu ameripoti mauaji ya kutisha na ubakaji huko Ethiopia kqtika majimbo ya Tigray na Afar.
Idadi ya mauaji ya raia na visa vya ubakaji vinatia shaka kama mwafrika alipaswa kuaminika kupewa mamlaka ya kujiongoza mwenyewe.
Ajabu zaidi ni kuwa sisi waafrika tumejikita kushabikia vita za wazungu ambazo zimejaa ustaarabu na hakuna ubakaji, utekaji wala mauaji ya halaiki ya raia.
Waafrika tuamke, tujiangalie kwanza sisi wenyewe na matatizo yanayotuzunguka kabla ya kujiingiza kwenye vita zisizotuhusu.
Asanteni.