Kwasababu Ethiopia ndo inaongoza kwa mifugo Afrika nzima, sasa kama idadi ya mifugo imehathirika kwa iyo vita itabidi tuiangalie kwa jicho la 3 or else hainaga impact badoLeo mkuu wa shirika la haki za binadamu ameripoti mauaji ya kutisha na ubakaji huko Ethiopia kqtika majimbo ya Tigray na Afar.
Idadi ya mauaji ya raia na visa vya ubakaji vinatia shaka kama mwafrika alipaswa kuaminika kupewa mamlaka ya kujiongoza mwenyewe...
Mbona unafikiri mithili ya mifugo? Mifugo ni bora kuliko haki za watu?Kwasababu Ethiopia ndo inaongoza kwa mifugo Afrika nzima, sasa kama idadi ya mifugo imehathirika kwa iyo vita itabidi tuiangalie kwa jicho la 3 or else hainaga impact bado