A
Anonymous
Guest
Hellow habari za Majukumu...
Naomba mtusaidie kupaza Sauti sisi waajiliwa wapya wa kada ya AFYA katika halmashauri ya wilaya Butiama Hatujapewa Hela ya Kujikimu tangu tumepata Ajira mwaka Jana mwezi wa Nane 2025 Mpaka Sasa.
Tulifatilia kwa Katibu wa Halmashauri hii Yeye kila tukimtafuta anatuomba Akaunti namba tu na kusema anafatilia ila Mpaka Sasa hatuoni dalili Wala mrejesho wa kupewa Hiyo Hela ya Kujikimu na Ni Miezi 8 Sasa maisha tunayoishi ni kukopa kopa tu na maisha ni magumu.
Tunaomba Mtusaidie Ili Taarifa ziwafikie Viongozi wahusika watusaidie