Waajiri wanahangaika kutafuta wafanyakazi

Teleskopu

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2017
Posts
702
Reaction score
767
Ulaya na Marekani kumeanza kujitokeza uhaba wa waajiriwa!
Nirudie tena: Sio uhaba wa kazi, bali uhaba wa wanaotafuta kuajiriwa.
Swali ni kuwa: Watu wameenda wapi?

Makala moja iliyopostiwa juzi tarehe 14/9 inasema:

A survey of nearly 45,000 employers across 43 countries showed 69 per cent of employers reported difficulty filling roles, a 15-year high, according to employment-services provider ManpowerGroup Inc. At the same time, 15 countries -- focused in Europe and North America -- reported their highest hiring intentions since the survey began in 1962.

Maana yake:
Uchunguzi wa karibu waajiri 45,000 kwenye nchi 43 umeonyesha kuwa aslimia 69 ya waajiri wanasema kuna ugumu wa kujaza nafasi, huu ukiwa ni uhaba mkubwa zaidi kushuhudiwa kwa miaka 15, kulingana na mtoa huduma ManpowerGroup Inc. Wakati huohuo, nchi 15 – hususan Ulaya na Marekani – zimeripoti makusudio yao ambayo yamekuwa ni ya juu kabisa ya kutaka kuajiri wafanyakazi tangu uchunguzi uanze 1962.

Unaweza kuisoma hapa: Two-thirds of businesses around the world are struggling to hire - BNN Bloomberg

MASWALI
  1. Je, watu wameenda wapi?
  2. Je, kazi zimeongezeka?
  3. Je, ni kwa sababu ya lock-down?
  4. Na kwa nini huku kwetu ni kinyume - ajira chache waombaji wengi?
  5. Je, wao wamefanya nini ambacho sisi bado hatujakifanya?
  6. Je, na sisi tunaelekea kule waliko wenzetu?
………..
Haiwezi kuwa ni lockdown kwa sababu lockdown ndiyo inayoleta ugumu wa maisha. Kwa hiyo, ukisema tu unatafuta wafanyakazi, kama ingekuwa ni lockdown, watamiminika ukose pa kuwaweka. Maana hakuna anayependa kukaa nyumbani.
………..
Sasa watu wameenda wapi ndani ya muda mfupi tu?
………..
Read between the lines!!
Kama bado unadhani dunia inapambana na tatizo la kupumua,
THINK SOME MORE!!

Culling!!
 
Kwa mantiki hiyo wanahitaji sio wafanyakazi tu bali wafanyakazi wenye ujuzi unaoendana na mabadiliko ya uhitaji wa soko.
 
Mkuu nafikiri kama lengo ni kutoa elimu ungeongea kwa uwazi na mapana bila lugha ya kificho ili kuacha uhuru wa kuchagua kua mkubwa. Feel free to talk openly
Mkuu majibu ya wazi huwa yanakataliwa. Lakini jibu linalotokana na logic ndio linalokaa maana linakuwa la mtu mwenyewe. Hata hivyo ngoja nikupe jibu langu ---- watu wengi wanakufa na wengine wengi sana wanakuwa disabled kutokana na chanjo.
 
Kwa mantiki hiyo wanahitaji sio wafanyakazi tu bali wafanyakazi wenye ujuzi unaoendana na mabadiliko ya uhitaji wa soko.
Ni kinyume chake mkuu. In fact wako tayari kupokea mtu yeyote kwa sababu watu hawapo kabisa. ----- chanjo mkuu imetimiza makusudi yake.
 
Mapema hivyo mkuu? Ina maana hii ni moja ya mbinu ya kuhalalisha AI? Robots?
 
Baadhi wameamua kujiajiri au wengine wameamua kurudi shule kujiendeleza na kuna wale ambao bado wanahofia COVID-19 hivyo hawako tayari kurudi kazini kwa sasa. Baadhi ya waajiri wameanza kuongeza mishahara yao kwa kiwango kikubwa na pia kutoa signing bonus ili kuvutia waajiriwa.
Ulaya na Marekani kumeanza kujitokeza uhaba wa waajiriwa!
Nirudie tena: Sio uhaba wa kazi, bali uhaba wa wanaotafuta kuajiriwa.
Swali ni kuwa: Watu wameenda wapi?

Makala moja iliyopostiwa juzi tarehe 14/9 inasema:

A survey of nearly 45,000 employers across 43 countries showed 69 per cent of employers reported difficulty filling roles, a 15-year high, according to employment-services provider ManpowerGroup Inc. At the same time, 15 countries -- focused in Europe and North America -- reported their highest hiring intentions since the survey began in 1962.

Maana yake:
Uchunguzi wa karibu waajiri 45,000 kwenye nchi 43 umeonyesha kuwa aslimia 69 ya waajiri wanasema kuna ugumu wa kujaza nafasi, uhaba mkubwa zaidi kwa miaka 15, kulingana na mtoa huduma ManpowerGroup Inc. wakati huohuo, nchi 15 – hususan Ulaya na Marekani – zimeripoti makusudio ya juu kabisa ya kutaja kuajiri tangu uchunguzi uanze 1962.

Unaweza kuisoma hapa: Two-thirds of businesses around the world are struggling to hire - BNN Bloomberg

MASWALI
  1. Je, watu wameenda wapi?
  2. Je, kazi zimeongezeka?
  3. Je, ni kwa sababu ya lock-down?
  4. Na kwa nini huku kwetu ni kinyume - ajira chache waombaji wengi?
  5. Je, wao wamefanya nini ambacho sisi bado hatujakifanya?
  6. Je, na sisi tunaelekea kule waliko wenzetu?
………..
Haiwezi kuwa ni lockdown kwa sababu lockdown ndiyo inayoleta ugumu wa maisha. Kwa hiyo, ukisema tu unatafuta wafanyakazi, kama ingekuwa ni lockdown, watamiminika ukose pa kuwaweka. Maana hakuna anayependa kukaa nyumbani.
………..
Sasa watu wameenda wapi ndani ya muda mfupi tu?
………..
Read between the lines!!
Kama bado unadhani dunia inapambana na tatizo la kupumua,
THINK SOME MORE!!

Culling!!
 
Baadhi wameamua kujiajiri au wengine wameamua kurudi shule kujiendeleza na kuna wale ambao bado wanahofia COVID-19 hivyo hawako tayari kurudi kazini kwa sasa. Baadhi ya waajiri wameanza kuongeza mishahara yao kwa kiwango kikubwa na pia kutoa signing bonus ili kuvutia waajiriwa.
sawa mkuu. huenda ni hivyo
 
Kuhusu kuhofia covid ni ngumu kuamini kwa sababu ulaya na marekani watu wanaandamana kila siku kwa maelfu kupinga chanjo, lockdown pamoja na covid passport.
 
Sasa unadhani kila ambaye anahofia kurudi kazini kwa sababu ya Covid anashiriki kwenye maandamano!? 😳

Back
Top Bottom