Sawa.
Mkuu umechanja nini?
Au wewe ni daktari.
Si kwa spirit hiyo
😀😀
No problem, haitachukua muda.
Badala ya kuwa sturbbon🤣🤣🤣🤣 Naona umeshupaza shingo na uzushi wako!!! 🤣🤣🤣
Mkuu iko hivi: Hapa sio wafanyakazi hawaji kazini, bali ni makampuni yanatangaza nafasi za ajira na hawapati watu. Yanafikia kutoa hadi mafao ya kumwaga lakini hakuna watu. Mfano wanasemaMimi nadhani pia ishu ya malipo yale wanayolipwa kwa kukaa nyumbani sababu ya corona yanachangia.
Mtu anaona bora achukue bonus yake aendelee kukaa home kuliko kurisk life lake mtaani.
Nikajua ni kwa sababu ya kutaka kuajiri wale tu waliochanjwa hali iliyopelekea uhaba kumbe vinginevyo.Mkuu majibu ya wazi huwa yanakataliwa. Lakini jibu linalotokana na logic ndio linalokaa maana linakuwa la mtu mwenyewe. Hata hivyo ngoja nikupe jibu langu ---- watu wengi wanakufa na wengine wengi sana wanakuwa disabled kutokana na chanjo.
Mkuu iko hivi: Hapa sio wafanyakazi hawaji kazini, bali ni makampuni yanatangaza nafasi za ajira na hawapati watu. Yanafikia kutoa hadi mafao ya kumwaga lakini hakuna watu. Mfano wanasema
About 40 per cent of respondents said they offer training and skills development to attract and retain talent. A similar share reported offering flexible work schedules. Nearly a third increased wages. Others offered signing bonuses and more vacation time.
Watu hakuna. Hilo ndio suala mkuu.
Naona kuna sababu nyingi mkuu.Hili suala la vaccine linaweza kugeuka kuwa tatizo kubwa la kijamii kuliko hata ugonjwa wenyewe,sababu tu ya kulazimishana mitazamo.Watu washawishiwe kwa hoja,wasilazimishwe.Hiki ni kitu kinaingizwa mwilini,huwezi kumburuza mtu akakubali kirahisi tu.Mbona chanjo za magonjwa mengine hazikupataga mushkeri kama huu?!COVID-19 Vaccines
Vaccines are seen as one of the best ways to stop COVID-19. Learn more about the types of vaccines, including the newly approved Novavax.www.webmd.com
Culling is the catchword. Survival of the fittest BY elimination of the weakest.Umeona post ilivyoishia mkuu?
Wafanyakazi wa aina gani? Sio kila mtu ndio anatafutwa? Na sifa zipi kwenye global stage?Ulaya na Marekani kumeanza kujitokeza uhaba wa waajiriwa!
Nirudie tena: Sio uhaba wa kazi, bali uhaba wa wanaotafuta kuajiriwa.
Swali ni kuwa: Watu wameenda wapi?
Makala moja iliyopostiwa juzi tarehe 14/9 inasema:
A survey of nearly 45,000 employers across 43 countries showed 69 per cent of employers reported difficulty filling roles, a 15-year high, according to employment-services provider ManpowerGroup Inc. At the same time, 15 countries -- focused in Europe and North America -- reported their highest hiring intentions since the survey began in 1962.
Maana yake:
Uchunguzi wa karibu waajiri 45,000 kwenye nchi 43 umeonyesha kuwa aslimia 69 ya waajiri wanasema kuna ugumu wa kujaza nafasi, uhaba mkubwa zaidi kwa miaka 15, kulingana na mtoa huduma ManpowerGroup Inc. wakati huohuo, nchi 15 – hususan Ulaya na Marekani – zimeripoti makusudio ya juu kabisa ya kutaja kuajiri tangu uchunguzi uanze 1962.
Unaweza kuisoma hapa: Two-thirds of businesses around the world are struggling to hire - BNN Bloomberg
MASWALI
………..
- Je, watu wameenda wapi?
- Je, kazi zimeongezeka?
- Je, ni kwa sababu ya lock-down?
- Na kwa nini huku kwetu ni kinyume - ajira chache waombaji wengi?
- Je, wao wamefanya nini ambacho sisi bado hatujakifanya?
- Je, na sisi tunaelekea kule waliko wenzetu?
Haiwezi kuwa ni lockdown kwa sababu lockdown ndiyo inayoleta ugumu wa maisha. Kwa hiyo, ukisema tu unatafuta wafanyakazi, kama ingekuwa ni lockdown, watamiminika ukose pa kuwaweka. Maana hakuna anayependa kukaa nyumbani.
………..
Sasa watu wameenda wapi ndani ya muda mfupi tu?
………..
Read between the lines!!
Kama bado unadhani dunia inapambana na tatizo la kupumua,
THINK SOME MORE!!
Culling!!
mkuu makala lengo lake lilikuwa tu ni kuonyesha kuwa waomba kazi wamepungua ghafla lakini hawajataja mampuni yenyewe kwa majina maana swali kuu: Kwa nini baada ya chanjo kuanza? Nini kimetokea? Kwa nini watu wasipatikane licha ya jitihada hadi za kuongeza mishahara, kuongeza likizo, na motisha mbalimbali?Wafanyakazi wa aina gani? Sio kila mtu ndio anatafutwa? Na sifa zipi kwenye global stage?
Exactly. That is the probable reason ya watu kutafutwa na hawapatikani, maana hiyo ajenda madhubuti ya global elite - na ulimwengu uliobakia hauna habari.Culling is the catchword. Survival of the fittest BY elimination of the weakest.
Kwa mfano ,, ukitangaza Nafasi za PhD elfu 30,za wasafisha vyoooo Kwa Tanzania utawapata? Ukinijibu hili nitakujibu na nikuelewesha kuhusu ulichokiandikanielezee mkuu