MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,537
- 8,824
Kama ukijaribu kuchunguza wahudhuriaji wengi wa Gym na zile Jogging ni wafanya kazi au waajiriwa hao ndio sana wana Muda, Ila mjasiriamali, mtu anakomaaa na products zake pale Kariakoo hawezi kukuelewa na storoes za Gym au Jogging.
Mbaya zaidi sasa hao wafanyakazi ikitokea kapigwa chini kazini, hutakaa hata hio Gym umuone tena, wala Jogging.
Mbaya zaidi sasa hao wafanyakazi ikitokea kapigwa chini kazini, hutakaa hata hio Gym umuone tena, wala Jogging.