Waajiriwa ndio wana muda gym na Jogging, Wafanyabiashara hawana huo muda

Waajiriwa ndio wana muda gym na Jogging, Wafanyabiashara hawana huo muda

Hapa nipo kwenye shamrashamra za kili marathon tangu ijumaa na ofisi yangu haijafungwa weekend yote. Acheni kuwa na mawazo na kufanya mambo kizamani. I can operate from here.
Si ulisema unafunga biashara Kwasababu ya TRA
 
Kuna uzi unazungumzia mikasa ya ofisin/makazin naomba title kwa anayeujua
 
Kama ukijaribu chunguza wahudhuriaji wengi wa Gim na zile Joging ni wafanya kazi au waajiriwa hao ndio sana wana Muda, Ila mjasiriamali, mtu anakomaaa na products zake pale Kariakoo hawezi kukuelewa na storoes za Gim au Joging.

Mbaya zaiidi sasa hao wafanya kazi ikitokea kapigwa chini kazini, hutakaa hata hio Gim umuone tena, wala Joging.
Mo dewji yule pale katika rat8ba yake bize ila ametenga saa moja la kufanya mazoezi.
 
Mfanyabiashara hana muda wa ujinga ujinga huo
Masharti ya afya ni ujinga!! Wafanyabiashara ndiyo wana hela na muda wa jogging na gym. Ukimbie jogging kazini umeajiriwa utawahi saa ngapi. Mfanyabiashara kajiajiri anajipangia muda wa kuingia na kutoka! Na kaajiri watumishi asipokuwepo
 
Kama ukijaribu chunguza wahudhuriaji wengi wa Gim na zile Joging ni wafanya kazi au waajiriwa hao ndio sana wana Muda, Ila mjasiriamali, mtu anakomaaa na products zake pale Kariakoo hawezi kukuelewa na storoes za Gim au Joging.

Mbaya zaiidi sasa hao wafanya kazi ikitokea kapigwa chini kazini, hutakaa hata hio Gim umuone tena, wala Joging.
Huo ndio ukweli
 
Biashara ambayo inahitaji uwepo wako si salama.

Kuna watu biashara zao zawafanya hawakutani na familia ie Wauza bidhaa za sokoni, Maduka ya Mangi
So inahitaji uendeshe kwa simu? Sikiliza biasjara inahitaji mwenye Idea awepo, na sio kuweka shangazi, mke, mjomba, sijui shemeji wasimamie,
 
Mo dewji yule pale katika rat8ba yake bize ila ametenga saa moja la kufanya mazoezi.
Mo dewji ni levo nyingine yule sio Director kwanza, yaani yule ni Chairman ni kama Mengi, alivyo kuwa, au Dangote, Sasa hio levo ni ya mbali, tuzungumzia hawa wadogo
 
Nyongeza. Katika uchunguzi wangu, ni waajiriwa na wafanyabiashara wenye vipato vizuri ndio hupata muda wa kwenye Gym au joging.

Mwajiriwa na mfanyabiashara wa kipato cha chini mwenye majukumu hana hamu ya kwenda Gym, full stress za maisha. Si unajua ukitoka Gym inatakiwa uoge, ule vizuri. Sasa unaanzaje kuaga familia unaenda Gym wakati familia haijui itakula nini usiku!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kama ukijaribu kuchunguza wahudhuriaji wengi wa Gim na zile Joging ni wafanya kazi au waajiriwa hao ndio sana wana Muda, Ila mjasiriamali, mtu anakomaaa na products zake pale Kariakoo hawezi kukuelewa na storoes za Gim au Joging.

Mbaya zaidi sasa hao wafanyakazi ikitokea kapigwa chini kazini, hutakaa hata hio Gim umuone tena, wala Joging.
kulala saa 7 usiku kuamka saa 11 asubuhi na kuwai daladala ni gim tosha
 
Kama ukijaribu kuchunguza wahudhuriaji wengi wa Gim na zile Joging ni wafanya kazi au waajiriwa hao ndio sana wana Muda, Ila mjasiriamali, mtu anakomaaa na products zake pale Kariakoo hawezi kukuelewa na storoes za Gim au Joging.

Mbaya zaidi sasa hao wafanyakazi ikitokea kapigwa chini kazini, hutakaa hata hio Gim umuone tena, wala Joging.
Nafikiri huu ni mtazamo wako mwembamba waliojiajiri wengi. Hasa wenye mitaji mizuri na investment za maana hupangilia muda wake awe wapi kwa wakati gani. Manake kuingiza kwake pesa hakutegemei yeye kuwepo cite. Eneo la biashara.
Muajiriwa ratiba ikichenji tu humuoni gyme
 
Back
Top Bottom