Kina KitengeKama ukijaribu kuchunguza wahudhuriaji wengi wa Gym na zile Jogging ni wafanya kazi au waajiriwa hao ndio sana wana Muda, Ila mjasiriamali, mtu anakomaaa na products zake pale Kariakoo hawezi kukuelewa na storoes za Gym au Jogging.
Mbaya zaidi sasa hao wafanyakazi ikitokea kapigwa chini kazini, hutakaa hata hio Gym umuone tena, wala Jogging.
Na maisha yetu Ni utumwa Tosha ama huelewi. Mana wewe Ni mtumwa wa hofu,tamaa mbalimbali,labda uvivu unakuongoza maamuzi fulani. All in all sio kuwa wote Ni wa iyo level unayoongelea so usiwe mtumwa wa ego yako kuona Kama wewe Ni mjanja ama u mwerevu kuliko wengine.bIashara unatakiwa uiset,yaan hata kama haupo iende tu
Biashara inayokubana sana ni utumwa
bIashara unatakiwa uiset,yaan hata kama haupo iende tu
Biashara inayokubana sana ni utumwa
uMenikumbusha ule msemo wa MALENGO NI UTUMWANa maisha yetu Ni utumwa Tosha ama huelewi. Mana wewe Ni mtumwa wa hofu,tamaa mbalimbali,labda uvivu unakuongoza maamuzi fulani. All in all sio kuwa wote Ni wa iyo level unayoongelea so usiwe mtumwa wa ego yako kuona Kama wewe Ni mjanja ama u mwerevu kuliko wengine,
Lowered down ego and arrogance naiona Mana watakutumikisha mno na huku unakataa kuwa maisha sio utumwa.
Ilo tumbo lako lenyewe linataka kula muda wote na like vitu vizuri na vitamu ama utumwa kwa uelewa wako Nini kwako.
Una utumwa wa kupambana upate uwe Elon musk na majumba na ule mbususu dunia yote sio gereza Ilo ndugu kweli.yaani umefungwa sema hujui Kama upo gerezani.
Hapa nipo kwenye shamrashamra za kili marathon tangu ijumaa na ofisi yangu haijafungwa weekend yote. Acheni kuwa na mawazo na kufanya mambo kizamani. I can operate from here.Kama ukijaribu chunguza wahudhuriaji wengi wa Gim na zile Joging ni wafanya kazi au waajiriwa hao ndio sana wana Muda, Ila mjasiriamali, mtu anakomaaa na products zake pale Kariakoo hawezi kukuelewa na storoes za Gim au Joging.
Mbaya zaiidi sasa hao wafanya kazi ikitokea kapigwa chini kazini, hutakaa hata hio Gim umuone tena, wala Joging.
Huko mbali sana, hata mfanyabiashara mdogo smart anaweza kufanya hivyo.Wafanyabiashara waliofikia mafanikio ya biashara zao kujiendesha hata wakiwa wamelala wapo wenye ratiba ya gym.
Mf Mo Dewji na yule Bwana wa Silent Ocean wanapiga vyuma!
uMenikumbusha ule msemo wa MALENGO NI UTUMWA
Kazi ya ujasiriamali ni zaidi ya Gym
Kama umesoma kitabu cha cash flow quadrant cha Robert Kiyosaki ni kwamba lazima biashara ianze mahala ambapo lazima uwepo full time ili uijue na iweze kusimama. Hatua unayoisema ya biashara kujisimamia hata kama haupo ni hatua ya juu kabisa, ambapo mtu huwa amefikia financial freedom.bIashara unatakiwa uiset,yaan hata kama haupo iende tu
Biashara inayokubana sana ni utumwa