Waajiriwa: Niwakumbushe, mshahara hu huu ndo utakaotumika mpaka Pasaka

Kesho waandike chadema wateua wagombea 2 wenje na masha ili povu limtoke vizuri
 
Napenda kukukumbusha mshahara utakaotoka mwezi huu ndio huo huo utakaotumika hadi pasaka.ahsante...!

Iwapo ulishakumbushwa kuhusu hili basi kuwa makini,Usijelaumu serikali.
Chanzo cha taalifa hii rafadhari nami nijilizishe
 
Napenda kukukumbusha mshahara utakaotoka mwezi huu ndio huo huo utakaotumika hadi pasaka.ahsante...!

Iwapo ulishakumbushwa kuhusu hili basi kuwa makini,Usijelaumu serikali.
Ungenistua 22/3/2017,mimi hela imeshakata,ngoja nikakope platinum
 
  • Thanks
Reactions: e2n
Back
Top Bottom