A
Anonymous
Guest
Tunaomba mamlaka husika zitusaidie kutatua changamoto hii.
Waajiriwa wapya wa sekta ya afya mwaka 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga, mkoani Morogoro, tunaendelea kuzungushwa kuhusu malipo ya posho zetu za kujikimu.
Tunaomba suala hili lishughulikiwe haraka ili tupate haki zetu kwa wakati.