Waajiriwa wengi ni wapigaji

Waajiriwa wengi ni wapigaji

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
Ukweli usemwe.

Kila ninachosema nina ushaidi nacho kwenye familia kuna watu wamejiajiri na wengine wameajiriwa.

Siku nikamcheki aliyeajiriwa ili anikopeshe kiasi fulani akaanza kunambia mambo magumu labda ngoja mwisho wa mwezi sema na hapo mademu mengi. Dukani wananidai kama 100k kwa daah nilichoka.

Ila brother aliyejiajiri akasema ok muda nakutumia,akanitumia nikamaliza jambo. Kuajiriwa bila kujiongeza mtakuja kutusumbua uzeeni huku mtaani.

Mwalimu unastaafu unapewa pesa ya kiinua mgongo unanunua gari afu 22m 😁😁😁 Mtumwa sitaki mimi kama huu.
 
Masikini waajiriwa wamemtoa marinda Hemedy, sasa hivi kila post anawalaumu. Ila hata hvyo Hemedy lazima uwachukie waajiriwa maana wamekutoa sana marinda kwa mkopo.
 
Ni mwendo wa upigaji tu tangu tupate uhuru. Chanzo ni wao. Wana uhalali gani mbele za Mungu kujilipa mabilioni na wakistaafu kujipa mabilioni huku katika utumishi wao walinuniliwa mpaka Pedi na kondomu?
 
Back
Top Bottom