Mwanaume mbea wwBaada ya "semaji" kuvurugana na Barbra sasa ni zamu ya Kassim Dewji.
Kuna shida pale Simba Sc, tena shida kubwa sana. Tuendelee kusubiri, kila kitu kitakuwa wazi.
kama timu haina hela 20b ya mudi ilienda wapi,Mudi anawekeza kidogo kidogo ila anataka faida kubwa.Yalisemwa na semaji lao la zamani wakalidhihaki sasa kumekucha sisi yetu macho.View attachment 2245601
Baada ya "semaji" kuvurugana na Barbra sasa ni zamu ya Kassim Dewji.
“Waajiriwa wengi Simba SC hawana taaluma ya ajira zao. Bodi haina nguvu ya kuwawajibisha waajiriwa wao. CEO wa Simba ni kama yupo juu ya Bodi kwa sasa” Kassim Dewji Mjumbe wa Bodi ya Simba SC
#EFM
Kuna shida pale Simba Sc, tena shida kubwa sana. Tuendelee kusubiri, kila kitu kitakuwa wazi.
Huyo ni keMwanaume mbea ww
huyu anatakiwa aondoke au apelekwe kwenye timu ya vijana au Simba Queens. Makocha wanatimuliwa wote kila msimu bado yeye anakuwa miongoni mwa benchi jipyaNaomba Mniambie Seleman Matola ana ujuzi mbinu gani za Mpira?
Ukiachana na Fitina?
Hawa wazee wanataka kuivuruga Simba. Wanataka kuirudisha timu mikononi mwao! Pamoja na mapungufu ktk uwazi wa uwekezaji lakini bado katiba mpya na mabadiliko hayajaondoa watu wa aina hii kutaka kuendesha timu kienyeji.
Barbra atapigwa zengwe hadi aondoke mwenyewe.
Mkuu upo sahihi huyo jamaa toka tenda za jezi apewe vunja bei ana makasiriko na huyo dada.Hawa wazee wanataka kuivuruga Simba. Wanataka kuirudisha timu mikononi mwao! Pamoja na mapungufu ktk uwazi wa uwekezaji lakini bado katiba mpya na mabadiliko hayajaondoa watu wa aina hii kutaka kuendesha timu kienyeji.
Barbra atapigwa zengwe hadi aondoke mwenyewe.
Kwa hiyo timu inashuka daraja auBarba ni zero kwenye football management alikuwa anapewa sifa ambazo sio zake wachezaji wengi waliosajiliwa chini yake ni magarasa
Nadhani sasa ndio mtaelewa maana ya Hisa 51% Wanachama na Hisa 49% Mo.Hawa wazee wanataka kuivuruga Simba. Wanataka kuirudisha timu mikononi mwao! Pamoja na mapungufu ktk uwazi wa uwekezaji lakini bado katiba mpya na mabadiliko hayajaondoa watu wa aina hii kutaka kuendesha timu kienyeji.
Barbra atapigwa zengwe hadi aondoke mwenyewe.
Mganga Wa Matola ni Kiboko, Wenzake Wanatimuliwa Yeye Yupo Tu [emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app