Waajiriwa wote sio matajiri?

Waajiriwa wote sio matajiri?

mxrereco

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
1,906
Reaction score
3,986
Heshima zenu wana nzengo.

Jamani nina swali, kuna nyuzi nyingi humu JF, zikidai kuwa huwezi kuwa tajiri kwa kuajiriwa. Sasa swali langu ni kwamba je waajiriwa wote wa Serikali sio matajiri? Mfano mawaziri, wakuu wa wilaya na mikoa, madaktari wakubwa na wengine kama hawa, je hawa sio matajiri?
 
Binadamu,Yaan walimwengu Kwa Mdomo hakika hutowaweza.We sikiliza,soma pita tu
Wananipa kuwaza sana. Kuna ma mtu yameajiriaa na makampuni na mashirika makubwa yanakuja almost 5m+ kwa mwezi, sasa najiuliza hawa sio matajiri? Au utajiri unaanzia mol ngap?
 
Hili ndio swali la msingi. Lijibiwe kwanza.
Kwa ufupi,

Tajiri sio kua na cash

Tajir ni Mali
Busara
Hekima
Nidhamu.

Kubwa Zaid ni mali zenye thamani zinazoingiza kipato.

Utajiri unapimwa Kwa uingizacho Kwa miezi kumi na mbili. Kisha ukatoa mishahara, Kodi na mengineyo. Faida inayobaki ndio inapimwa ktk kiwango cha utajiri.

Mwenye shamba heka Mia anaweza hesabika kama tajir dhid ya mwenye cash milioni 500.

Karibu Kwa mabishano yenye hoja
 
Hebu tujue kwanza utajiri ni nini?ili mtu tuweze kumuita tajiri anatakiwa awe na nini.hapo mjadala utaisha kirahisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu ana maana yake ila utajiri kwangu una maana hii
“...kuweza kupata nachotaka kwa wakati, kufanya jambo nalopenda kwa mda ninaoutaka na watu naowataka”

Mfano leo asubuhi kuna kikao na sijiskii kwenda kazini, siendi naghairisha kikao.

Mfano unahisi unahitaji gari mpya unavuta Laptop unaingia mtandaoni unatafuta gari unayoona inakufaa unavuta. Done ushanunua.

Huo ndio utajiri.
 
Hapo umeelezea kuhusu kipato baada ya kutoa kodi, Je unaweza taja idadi ya pesa specific ambayo inaweza mtambulisha kuwa mtu huyu ni tajiri.

Maana umeingia na approach ya namba.
Kwa ufupi,

Tajiri sio kua na cash

Tajir ni Mali
Busara
Hekima
Nidhamu.

Kubwa Zaid ni mali zenye thamani zinazoingiza kipato.

Utajiri unapimwa Kwa uingizacho Kwa miezi kumi na mbili. Kisha ukatoa mishahara, Kodi na mengineyo. Faida inayobaki ndio inapimwa ktk kiwango cha utajiri.

Mwenye shamba heka Mia anaweza hesabika kama tajir dhid ya mwenye cash milioni 500.

Karibu Kwa mabishano yenye hoja
 
Kwa ufupi,

Tajiri sio kua na cash

Tajir ni Mali
Busara
Hekima
Nidhamu.

Kubwa Zaid ni mali zenye thamani zinazoingiza kipato.

Utajiri unapimwa Kwa uingizacho Kwa miezi kumi na mbili. Kisha ukatoa mishahara, Kodi na mengineyo. Faida inayobaki ndio inapimwa ktk kiwango cha utajiri.

Mwenye shamba heka Mia anaweza hesabika kama tajir dhid ya mwenye cash milioni 500.

Karibu Kwa mabishano yenye hoja
Noted: utajiri sio cash, utajiri ni assets.
 
Kila mtu ana maana yake ila utajiri kwangu una maana hii
“...kuweza kupata nachotaka kwa wakati, kufanya jambo nalopenda kwa mda ninaoutaka na watu naowataka”

Mfano leo asubuhi kuna kikao na sijiskii kwenda kazini, siendi naghairisha kikao.

Mfano unahisi unahitaji gari mpya unavuta Laptop unaingia mtandaoni unatafuta gari unayoona inakufaa unavuta. Done ushanunua.

Huo ndio utajiri.
Napingana nawe. Huo ni uwezo wa kipesa na sio utajiri
 
Heshima zenu wana nzengo.

Jamani nina swali, kuna nyuzi nyingi humu jf, zikidai kuwa huwezi kuwa tajiri kwa kuajiriwa. Sasa swali langu ni kwamba je waajiriwa wote wa serikali sio matajiri?? Mfano mawaziri, wakuu wa wilaya na mikoa, ma daktari wakubwa na wengine kama hawa, je hawa sio matajiri?
"Huwezi kuwa tajiri kwa kuajiriwa" kauli hii imekaa Kimotivational zaidi na mara nyingi hutamkwa na watu wanaojaribu kusisitiza suala la kujiajiri binafsi kupitia Ujasiriamali lakini kitu watu wengi wasichokijua nikwamba ajira ina mahusianano makubwa sana na kujiajiri binafsi na vitu hivi viwili hutegemeana kwa kiasi kikubwa. Kutajirika siyo lazima mtu uanzie chini kabisa na bishara ya genge au kuuza karanga. Matajiri wengi wamepata utajiri wao baada ya kuajiriwa na kupata mitaji yao kupitia hizo ajira wakaja kufungua mamiradi ya maana.

Huwezi kufungua biashara ya uhakika pasipokuwa na mtaji na haijalishi mtaji umeupata kwa kudunduliza biashara ya karanga na ubuyu ama umeupata kutoakana na mshahara wa kazi ya uhandisi, vyote hivyo ni vyanzo vya mtaji na mtu anaweza kuwekeza na kuwa bilionea.

Kwahiyo si sahihi kusema eti, mtu hawezi kutajirika kwa kazi ya ajira kwani utajiri ni mchakato unaohitaji uwekezaji iwe ni pesa za mshahara au faida kutokana na biashara. Ni kitu hutaamini lakini walioajiriwa wana fursa kubwa zaidi ya kuwa matajiri maanake wana access kubwa zaidi ya kupata mtaji kuliko mtu anaye hustle na biashara ndogondogo, mwajiriwa ana uwezo wa kukopa kiurahisi na akakopesheka wakati huohuo akiwa na uhakika wa mshahara kila mwezi, akijinyima kidogo tu tayari ana mtaji kwasababu mradi wake hatagusa faida itakayopatikana bali mshahara wake.
 
Wananipa kuwaza sana. Kuna ma mtu yameajiriaa na makampuni na mashirika makubwa yanakuja almost 5m+ kwa mwezi, sasa najiuliza hawa sio matajiri? Au utajiri unaanzia mol ngap?
Lakini ana nyumba na gari utasemaje sio tajiri kwa level za kiafrica izi ..huko kwingine ni kupambanisha na watu wengine kama wakina Mo ..Na hata Mo ukimpeleka hapo india tu hafui dafu .

Usipende kujicompare.
 
"Huwezi kuwa tajiri kwa kuajiriwa" kauli hii imekaa Kimotivational zaidi na mara nyingi hutamkwa na watu wanaojaribu kusisitiza suala la kujiajiri binafsi kupitia Ujasiriamali lakini kitu watu wengi wasichokijua nikwamba ajira ina mahusianano makubwa sana na kujiajiri binafsi na vitu hivi viwili hutegemeana kwa kiasi kikubwa. Kutajirika siyo lazima mtu uanzie chini kabisa na bishara ya genge au kuuza karanga. Matajiri wengi wamepata utajiri wao baada ya kuajiriwa na kupata mitaji yao kupitia hizo ajira wakaja kufungua mamiradi ya maana.

Huwezi kufungua biashara ya uhakika pasipokuwa na mtaji na haijalishi mtaji umeupata kwa kudunduliza biashara ya karanga na ubuyu ama umeupata kutoakana na mshahara wa kazi ya uhandisi, vyote hivyo ni vyanzo vya mtaji na mtu anaweza kuwekeza na kuwa bilionea.

Kwahiyo si sahihi kusema eti, mtu hawezi kutajirika kwa kazi ya ajira kwani utajiri ni mchakato unaohitaji uwekezaji iwe ni pesa za mshahara au faida kutokana na biashara. Ni kitu hutaamini lakini walioajiriwa wana fursa kubwa zaidi ya kuwa matajiri maanake wana access kubwa zaidi ya kupata mtaji kuliko mtu anaye hustle na biashara ndogondogo, mwajiriwa ana uwezo wa kukopa kiurahisi na akakopesheka wakati huohuo akiwa na uhakika wa mshahara kila mwezi, akijinyima kidogo tu tayari ana mtaji kwasababu mradi wake hatagusa faida itakayopatikana bali mshahara wake.
Unaweza kuwa mwajiriwa na bado ukawa tajiri. Inategemeana umewekeza kwenye nini kupitia ajira yako au mikopo itokanayo na ajira. Mwajiriwa wa serikali wa mshahara kuanzia M5 anaweza kukopa Hadi milioni 100 Kwa miaka 20. Ukiwekeza hizi kiuaminifu after 10years waweza kua tajiri ilihali bado upo mwajiriwa
 
Za kuambiwa changanya na zako. Ajira za kutajirisha zipo ila ni chache (Assumptions:say 0.05%). Kwa mfano ajira ya Urais na top positions (ubunge, uwaziri, katibu mkuu wizara na mashirika n.k) probability ya mtu kupata ni ndogo sana.

Ila suala la kufanya biashara na uwekezaji kila anayeweza kuchangamkia fursa anayo nafasi ya kuwa tajiri.

Hivyo ukihitaji kuwa tajiri sharti uangalie wapi penye uwezekano, kusubiri au kupambania ajira hizo chache au kufanya business na Investment.
 
Mkuu umeelezea vizuri sana,

Kuwa tajiri ukiwa muajiriwa upate zile top positions kama CFO, CEO au some level Managers huko ila sio hizi ajira za chini.

Shida ya ajira ni kupanda ile corporate ladder, Tz mtu anapata ajira ana miaka 25 hadi apande vyeo sio leo. Na hapo ndio afanye saving aje kuanza biashara probably ikafeli.

Kutokuajiriwa ni more reasonable kuwa tajiri, nakubaliana na kuajiriwa ikiwa mda mfupi kwenye kampuni binafsi ambayo inaendesha aina ya biashara utakayotaka ufungue... sababu hapo unajifunza vitu maana utakuwa unapata hands on experience na hiyo company isiwe kubwa sana maana hautopata access ya kujifunza mambo mengi sababu ya bureaucracy

Kuajiliwa kwenye serikali halafu unataka uwe top notch entrepreneur huo ni uongo
 
Back
Top Bottom