Waakuu hii ramani inamakosa gani?

Nominii

Member
Joined
Nov 24, 2022
Posts
99
Reaction score
194
Nimetafuta raman ya nyumba simple simple nimekutana na hii naomben ushaur kwenye hii ramani

BAADA YA MAONI YA WATU NIMEKUJA NA UPDATES YA RAMANI YA PILI HII HAPA

NAYO MNAIONAJE MSICHOKE WAKUU KUNISHAURI

Nimetafuta raman ya nyumba simple simple nimekutana na hii naomben ushaur kwenye hii ramani

View attachment 2534059
Mimi ningehamisha M/bedroom kwenda ilipo bedroom 2 na hiyo choo ya master iwe ya public na hiyo ya public iwe ya master ili masterbedroom iwe konani kwenye kautulivu fulani ukizingatiwa ndiyo sehemu inakoimarishiwa familia ....privacy reasons
 
choo ya master ikiwa public watu watakua wanafika na kuona chumba cha mzee ni hichi pengine usiku mtu asikilizie chabo[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…