katika halli isiyo tegemewa waalim walio ripoti katika vituo vyao wameambulia kulipwa pesa ya siku saba ambayo nayo imelipwa kwa baadhi ya almashauri tu kama vile segerema na msoma huku ikisisi tizwa kua hakuna kitakacho lipwa tena.
Mbaya zaidi hakutakuwa na malilpo yamizigo yawaalimu hao hivyo kujikuta wakipokea kiasi cha 315000 kwa wale wa halmashauri zilizoko mjini na 245000 kwa vijijini hii nikwa shahada tu. hali ni mbaya zaidi kwa waalim wa wa stashahada na cheti kwani wepokea chini ya hapo.

Slaa aliwaambia kuwa mkimchagua Kikwete ni janga la taifa hamkusikia mkaenda kumpigia kura. haya matunda hayo yameshaiva
Mkuu waraka mpya wa 2011 wa kuhusu posho za watumishia wa umma unaelekeza hivyo, kuwa ni siku saba kwa posho ya kujikimu na ni wewe tu siyo mwenza wako wala watoto, mfano kwa shahada ni kwa siku ni sh 65,000 kwa jiji na manispaa, sh 45,000 kwa miji midogo na 35,000 kwa vijijini hivyo piga mahesabu na zingatia kituo chako ni wapi, na hivyo kutokana na waraka huo malipo hayo ni sahihi, hivyo subirini mshahara wa kuanzia na pesa ya mizigo. Na zaidi serikali iliahidi kuwalipa waalimu watakao
warka unasemaje kuhusu mizigoo?