Eraldius
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 1,122
- 912
katika halli isiyo tegemewa waalim walio ripoti katika vituo vyao wameambulia kulipwa pesa ya siku saba ambayo nayo imelipwa kwa baadhi ya almashauri tu kama vile segerema na msoma huku ikisisi tizwa kua hakuna kitakacho lipwa tena.
Mbaya zaidi hakutakuwa na malilpo yamizigo yawaalimu hao hivyo kujikuta wakipokea kiasi cha 315000 kwa wale wa halmashauri zilizoko mjini na 245000 kwa vijijini hii nikwa shahada tu. hali ni mbaya zaidi kwa waalim wa wa stashahada na cheti kwani wepokea chini ya hapo.