Waalimu acha kuhamishia hasira zenu kwa watoto wetu, Rais Samia yuko pale pambaneni naye.

Waalimu acha kuhamishia hasira zenu kwa watoto wetu, Rais Samia yuko pale pambaneni naye.

mtuma post naona umeishatoa hukumu hata kabla ya kubalance story, huo ni upande mmoja wa mwanafunzi,je mwalimu huyo yuko peke yake tuu katka shule hiyo? hakuna mkuu wa shule,makamu,mtaaluma,mwalimu wa nidhamu,mwalimu wa darasa na wadau wengine hadi apigwe picha huko vichochoroni amefikaje hapo?
Sikiliza vizuri hiyo clip!
 
Huyu mbona cha mtoto kipind nasoma high-school sengerema pale
Kuna siku mwalimu bhana akanisema kwamba hatujaamka prepo ya satisa usiku

Oya babu tulipigwa fimbo hizo mpaka makalio yakawa yanalia mbwata nilikua nakalia tumbo wiki nzima 😅

Sema ndo hivo mwalimu nimekutana nae juzi tunapiga story
Sengerema gani hiyo...chaka ipo?
 
makahaba tuu hao,kwann wameshindwa kwenda kwa mkuu? kama wamepigwa mtaani ili kuongeza uzito wa case je utajuaje?
Kwa kuwa wewe ni kahaba huwezi kufikiri zaidi ya huo ukahaba wako!
 
Mimi mwenyewe naona zifutwe fimbo mashuleni , mwanafunzi aje SHULE au asije, afeli au afaulu , asome asisome ni shauri yake na wazazi wake . Ibaki adhabu ya kufukuzwa na ma suspension TU . Kila mtu akapambane na wanae maana walimu wakifaulisha na kuwarudisha kwenye mstari watoto hata husikii vyombo vya habari vikimsifia ila akosee mara moja TU ni jela
Iiih jela kabisa loooh !
 
Back
Top Bottom