Waalimu kuboreshewa mishahara

Waalimu kuboreshewa mishahara

Mwamgunda

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
247
Reaction score
48
Tetesi kutoka katika kikao kati ya bodi ya mishahara ya serikali na wakurugenzi wa halmashauri zote nchini; madaraja ya waalimu yamerekebishwa, graduate ataanza na TGTS E kama laki 850,000 na wataadjust kama ulikuwa C unahamia D automatically na wa D anahamia E, pia daraja kikomo H linasogezwa hadi J. Hii ni kuanzia mwezi wa 4-2013.
 
Mdau hakuna kitu kama hicho wakurugenzi sio wadau kwa hilo
Duh kama huji si ukae kimya? Sio wadau kivipi wakati wao ndio Waajiri wa Walimu wote walioko kwenye Halmashauri? Au maana ya Mdau imebadilika? Back to the topici, ni kweli Wakurugenzi wote walikuwa Dodoma kwenye Kikao na Bodi ya Mishahara iliyoanzishwa 01/07/2012. Mimi pia nimesikia hizo habari japo sina uhakika nazo....Lakini inawezekana kweli kwa Tanzania?
 
  • Thanks
Reactions: Ctr
Yote yanawezekana, eeeh mungu baba fanikisha zoezi hilo hapo juu ili waalimu wetu wawe na maisha mazuri pia wakose visingizio, amina. Tusubiri tuone
 
Sidhani kitu km hicho kitakuja tokea tz hata km wanafunzi watafel kwa asilimia 95
 
  • Thanks
Reactions: Ctr
Sijui kama litawezekana katika hii serikali yetu sikivu

  • :frusty:
 
kumbe ndio maana tumeongezewa nauli nshajua sasa..
 
Tunataka tusikie radioni na kwenye tv waziri wa fedha na yule wa elimu waseme hadharani.tetesi inaweza kuwa kweli au si kweli.
 
Wanabodi ninachokiamini hapa ni propaganda za MACCM,katika kuwapumbaza walimu ili wabweteke kuwa serikali inashugulikia madai ya walimu, ILi wazazi na jamii pia ijue walimu wanajaliwa hii inaongeza tu uhasama kati ya walimu na jamii YETU MACHO.
 
Tetesi kutoka katika kikao kati ya bodi ya mishahara ya serikali na wakurugenzi wa halmashauri zote nchini; madaraja ya waalimu yamerekebishwa, graduate ataanza na TGTS E kama laki 850,000 na wataadjust kama ulikuwa C unahamia D automatically na wa D anahamia E, pia daraja kikomo H linasogezwa hadi J. Hii ni kuanzia mwezi wa 4-2013.
Tusiende kwa tetesi tu -tuone kwa vitendo- serikali itamke na kutekeleza hivyo. Vinginevyo ni kudanganyana!!
 
Back
Top Bottom