Raycom mvungi
Member
- Mar 22, 2013
- 79
- 9
Ikitokea hivyo naandamana mpaka wizara ya fedha! Huu ni wiz hizo fedha zitatoka wap? Nchi keshauziwa mchina kaja rais wao kasain mikataba 17 we unajua kilichosainiwa? Mishahara kupanda kiasi hicho labda ongezeko la 40 elfu na ongezeko la kodi la elf 30 ila tofaut na hapo labda atakapokufa rais wa sasa au nchi itakapopinduliwa walimu ni karai la kujengea ujenz ukikamilika hutupwa wapanga mishahara walifundishwa na walimu bt kiko wap now? Tafakari......?