Waalimu kuboreshewa mishahara

Waalimu kuboreshewa mishahara

Ikitokea hivyo naandamana mpaka wizara ya fedha! Huu ni wiz hizo fedha zitatoka wap? Nchi keshauziwa mchina kaja rais wao kasain mikataba 17 we unajua kilichosainiwa? Mishahara kupanda kiasi hicho labda ongezeko la 40 elfu na ongezeko la kodi la elf 30 ila tofaut na hapo labda atakapokufa rais wa sasa au nchi itakapopinduliwa walimu ni karai la kujengea ujenz ukikamilika hutupwa wapanga mishahara walifundishwa na walimu bt kiko wap now? Tafakari......?
 
MJOMBA ALISEMA NA WAZEE WA DSM, " kama mshahara wanaodai ni kima cha chini cha 315000, hata wakigoma kwa miaka minane mshahara huo haupo, na anayefikiri haweni kufanya kazi kwa mshahara uliopo hadi alipwe kima cha chini cha laki tatu na kumi na tano.... (....akatulia kidogo...wazeee wakadakia,,,"aaache kaziiiiii" naye mjomba akamalizia).....AACHE KAZI!" sasa miaka minane imeshapita wajameniii????????????????????
 
Jamani, hizi ni TETESI!! Ukipata tetesi, kaa kimya tu! usihangaike nazo!! Lugha nyingine 'Uvumi'
 
Wakuu si vema kuwapa watu matumaini hewa kwani mwisho wa siku tutakuwa tunawakatisha tamaa kabisa. Tusubiri mambo yaive ili tuweke taarifa kamili
 
Tetesi kutoka katika kikao kati ya bodi ya mishahara ya serikali na wakurugenzi wa halmashauri zote nchini; madaraja ya waalimu yamerekebishwa, graduate ataanza na TGTS E kama laki 850,000 na wataadjust kama ulikuwa C unahamia D automatically na wa D anahamia E, pia daraja kikomo H linasogezwa hadi J. Hii ni kuanzia mwezi wa 4-2013.

inawezekana lakini sijui hapana haiwezekani kabisa
 
Haiwezekan kivp?..mleta mada ndo kaileta kishamba...ni bora angetoa ni% ngap wameongeze ..then ndo ungeanza kumbuka mgomo wa mwaka ulidai nn? na hapa wametmiza nn? je kilio cha walim kimekwisha?..kwa kiwango hicho bado mwl mwnye TGTS D anazidiwa na certificate ya mifugo au nursing!..sa hapo mnashangaa nn? bado ni ubabaishaj tu!..
 
haiwezekan kivp?..mleta mada ndo kaileta kishamba...ni bora angetoa ni% ngap wameongeze ..then ndo ungeanza kumbuka mgomo wa mwaka ulidai nn? Na hapa wametmiza nn? Je kilio cha walim kimekwisha?..kwa kiwango hicho bado mwl mwnye tgts d anazidiwa na certificate ya mifugo au nursing!..sa hapo mnashangaa nn? Bado ni ubabaishaj tu!..

aiwezekani
 
Kanusho la kupanda kwa mishahara ya walimu kutoka menejimenti ya utumishi wa umma ofisi ya rais
 
haya sasa ni asilimia 23.5 tu. na mwenye E nde atakaribia 900,000 ie 889,000 mleta thread hii mzushi. na hii ni kabla ya makato uzi hatimae mumeukimbia. ikikatwa hakibaki kitu
 
Back
Top Bottom