Duh kama huji si ukae kimya? Sio wadau kivipi wakati wao ndio Waajiri wa Walimu wote walioko kwenye Halmashauri? Au maana ya Mdau imebadilika? Back to the topici, ni kweli Wakurugenzi wote walikuwa Dodoma kwenye Kikao na Bodi ya Mishahara iliyoanzishwa 01/07/2012. Mimi pia nimesikia hizo habari japo sina uhakika nazo....Lakini inawezekana kweli kwa Tanzania?Mdau hakuna kitu kama hicho wakurugenzi sio wadau kwa hilo
Tusiende kwa tetesi tu -tuone kwa vitendo- serikali itamke na kutekeleza hivyo. Vinginevyo ni kudanganyana!!Tetesi kutoka katika kikao kati ya bodi ya mishahara ya serikali na wakurugenzi wa halmashauri zote nchini; madaraja ya waalimu yamerekebishwa, graduate ataanza na TGTS E kama laki 850,000 na wataadjust kama ulikuwa C unahamia D automatically na wa D anahamia E, pia daraja kikomo H linasogezwa hadi J. Hii ni kuanzia mwezi wa 4-2013.