Waboreshe wakati
wengine bado hawajalipwa mwezi uliopita hizo siasa wakiboresha mi naenda
kunya ikulu.
Inawezekana vip hilo ongezeko litekelezwe mwezi wa 4 ikiwa mwaka wa bajeti bado? ungesema kuanzia Julai,angalau 'uzushi' wako ungekuwa na kaukweli kwa mbaali
Sijui kama litawezekana katika hii serikali yetu sikivu
- :frusty:
maisha hayawezi kuja gharama za maisha zinapanda daily leo tu mshikaji kaja kupandisha kodi ya pango kutoka sabini elfu kwenda laki mojaYote yanawezekana, eeeh mungu baba fanikisha zoezi hilo hapo juu ili waalimu wetu wawe na maisha mazuri pia wakose visingizio, amina. Tusubiri tuone
Tetesi kutoka katika kikao kati ya bodi ya mishahara ya serikali na wakurugenzi wa halmashauri zote nchini; madaraja ya waalimu yamerekebishwa, graduate ataanza na TGTS E kama laki 850,000 na wataadjust kama ulikuwa C unahamia D automatically na wa D anahamia E, pia daraja kikomo H linasogezwa hadi J. Hii ni kuanzia mwezi wa 4-2013.
Kama isipowezekana,acha kaz,hakuna anayekulazimisha
Mi ntahamia Iraki
Mleta mada kakimbilia wapi mbona hakuleta maboresho?????hakuna aliyezaliwa wa kupata shida walimu nao kunasiku hizi shida zao zitakwisha mungu bariki walimu bariki gvmt
Waboreshe wakati wengine bado hawajalipwa mwezi uliopita hizo siasa wakiboresha mi naenda kunya ikulu.
Mleta mada kakimbilia wapi mbona hakuleta maboresho?????