haya sasa ni asilimia 23.5 tu. na mwenye E nde atakaribia 900,000 ie 889,000 mleta thread hii mzushi. na hii ni kabla ya makato uzi hatimae mumeukimbia. ikikatwa hakibaki kitu
23.5% ni ongezeko la fungu la mshahara kwa watumish ktk bajet ya 13/14 na sio katika madaraja ya mishahara ya kila mtumishi!. Tusubir ngoma bado mbichi hii