Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,436
- 7,955
Ukiangalia vifo vingi vya wanafunzi ambavyo vinasababishwa na waalimu vinatokana na kupewa adhabu au kipigo nje ya utaratibu wa kawaida wa fimbo.
nawatahadharisha tu walimu kuwa maeneo yaha ambayo nayataja hapa ni hatari sana kupiga hasa kwa watoto wadogo
1. kupiga NGWALA, hii inapelekea mtoto kufikia kISOGO! uwezekano mkubwa akapasua fuvu kwa nyuma na hatimaye kufa
. 2. Kupiga UPANDE wa kushoto KIFUANI!
eneo hili linatunza MOYO! watoto wanamioyo laini! na pindi inapotingishwa jiandae KUUA
3. MGONGONI: huku kuna SPINE! yaani uti wa mgongo! ukikpiga vibaya mwili unakata mawasiliano na miguu na mwishowe kulemaa au kufa
4. KUKUNJA mtoto kwa aina yoyote ile kunaweza kuleta madhara makubwa kwa kuvunja viungo kwa kulazimishwa
5. KUKABA: walimu mna tabia ya kumuwekea mtoto mguu shingoni ili asifurukute! hapa unaua dk moja tu
6 : KUPIGA FIMBO KICHWANI: Huki kuna macho, pua na Ubongo! ukipiga vibaya tu umeleta majanga
sheria inataja viboko.tena idadi haizidi 4
sasa kuna waalimu wanachapa kama wanaua nyoka! je mnadharau serikali?
Angalia mfano habari hii ya gazeti la mwananchi, mwalimu Rombo inaonekana alipiga mtoto kata funua akaua
www.mwananchi.co.tz
Angalizo: mimi atakayeua mwanangu kwa adhabu! situmuacha salama hata kama atakiwa ndani ya nondo za segerea! nitahakikisha anapata uchungu ule ule aliokuwa anapata mwanangu!

Sababu kifo cha Sixtus nje
Ripoti ya uchunguzi ya mwili wa mwanafunzi Sixtus Kimario (7), anayedaiwa kupigwa viboko na mwalimu wake inaonyesha kifo chake kilisababishwa na damu kuvujia kwenye ubongo.