Mbona mada na maudhui haviendani ndugu!!! Kwa taarifa tu, nauli ya likizo Ni historia Kwa walimu. Kuhusu mahali unakotoka kama unaripoti kazini Kwa Mara ya kwanza, jaza MKOA na Wilaya ya kwenu ulikozaliwa ama Kwa wazazi wako. Usikimbilie kujaza maeneo ambayo umekuja ukubwani na kupita ama kupenda kuishi. Utakosa haki nyingi za msingi mbeleni.