Waalimu na kuripoti

Waalimu na kuripoti

Realbest

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2013
Posts
812
Reaction score
300
Hv nivigezo gani wanavyo 2mia kutoa pesa ya likizo kila baada ya miaka miwili? na wana2mia vigezo vp ili kujua ww unatokea mahali fulani? Vp pia kuhusiana na swala la nauli? plz msaada wenu wadau
 
Mbona mada na maudhui haviendani ndugu!!! Kwa taarifa tu, nauli ya likizo Ni historia Kwa walimu. Kuhusu mahali unakotoka kama unaripoti kazini Kwa Mara ya kwanza, jaza MKOA na Wilaya ya kwenu ulikozaliwa ama Kwa wazazi wako. Usikimbilie kujaza maeneo ambayo umekuja ukubwani na kupita ama kupenda kuishi. Utakosa haki nyingi za msingi mbeleni.
 
Back
Top Bottom