Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Mwalimu ni mtu mwenye dhamana yakuondoa ujinga kwa wengine lakini hana uhakika kama yeye amejiondolea ujinga.
Mwalimu ni mtu yupo radhi kumchapa mwanafunzi asiyeelewa ili aelewe lakini yeye mwenyewe hana uhakika kama anaelewa anachotakiwa kukifanya kama kioo cha anaowafundiasha.
Mwalimu ni mtu asiyependa kukosolewa au kuulizwa maswali ila yeye angependa kuuliza maswali ikiwa ni sambamba na kutunga mitihani kwa lengo kumkomoa mwanafunzi asifaulu
Waalimu wengi wana elements za binadamu aina ya Idiot na tribalistic huku wachache hasa wanaofundisha international schools na private wakiwa ni citizens.
Kwa kuwa waalimu wamejiweka kwenye kundi la Idiot na tribalistic basi wanavuna mazao ya maslahi duni na ahadi hewa kwa watawala. Na kwa kuzingatia kundi kubwa lilipo ndipo umkuta mwalimu akiendelea kuishi kwenye ufukara akiaminishwa umaskini na maslahi duni ndio uzalendo.
Leo wameambiwa waandike tena changamoto zao huko kanda ya ziwa. Walivyo shangilia ni kama vile walikuwa hawana fursa ya kuandika hizo changamoto. Napenda kuwakumbusha kwamba hata ripoti na maombi yao siku ya mei mosi bado hakuna utekelezaji .
Waalimu mnapoambiwa ninyi ni jeshi kubwa tumieni wingi wenu pia kudai haki zenu. Acheni kuishi maisha duni ya KINAFIKI....minyi pia niwatumishi kama walivyo TRA na wengine.