Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Huwa wanaongezewa mshahara aseesio kwamba watoto wakifeli sana somo lako kuna adhabu flani unapewa?
HahaaaaaHilo li kweli. Ufaulu usifaulu, mshahara wake unaingia.
Jitahidi kivyako.
yaani ukifelisha unaongezewa mshahara? acha uongoHuwa wanaongezewa mshahara asee
Tuwaulize WAALIMU. Mwalimu alikuwa anajinadi hivyo.yaani ukifelisha unaongezewa mshahara? acha uongo
Kabisa Yani. Na ndo mwalimu pendwa kuliko wote wa namna hiyo.Daah, walimu wa hivyo walikuwa wanatupa kichwa Sana ,somo lake unadoji, hakuna kufanya mitihani na hamna viboko.