Waalimu: Usome usisome, Ufaulu usifaulu Mimi mshahara wangu upo palepale

Waalimu: Usome usisome, Ufaulu usifaulu Mimi mshahara wangu upo palepale

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
6,944
Reaction score
14,351
Kuna baadhi ya walimu bana walikuwa hawana shida na mwanafunzi kabisa.

Leo nimeikuta hii Facebook nikamkumbuka mwalimu wangu aliyekuwa anapenda sana kusema hivi.

FB_IMG_1729795567258.jpg
 
Daah, walimu wa hivyo walikuwa wanatupa kichwa Sana ,somo lake unadoji, hakuna kufanya mitihani na hamna viboko.
Kabisa Yani. Na ndo mwalimu pendwa kuliko wote wa namna hiyo.

Kuna mwalimu siku Moja kidogo shule iishe ukienda kuomba ruhusu tu ana kuambia you may God😆😆
 
Back
Top Bottom