Waalimu wamekatwa mishahara Bagamoyo

Waalimu wamekatwa mishahara Bagamoyo

Official Fisherman

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
560
Reaction score
110
Jamani naombeni msaada wa kisheria kuhusu sisi waalimu wa halmashauri ya bagamoyo tumekatwa mishahara yetu eti kwa ajili ya ujenzi wa maabara shule za kata. Hili limekaaje kisheria na tufanyaje, hasa ukizingatia cwt ni butu?
 
wanasheria watakusaidia real sina taaluma hiyo ila hiyo ni criminal case kama ziilvyo case nyingine za wizi

ila nyie waalimu mbona mnainewa hivyo au ndo mnajifanya hamuoni wala kuskia??
 
wanasheria watakusaidia real sina taaluma hiyo ila hiyo ni criminal case kama ziilvyo case nyingine za wizi

ila nyie waalimu mbona mnainewa hivyo au ndo mnajifanya hamuoni wala kuskia??

Sio kwamva tunajifanya hatuoni, tunaona sana, ila ni vigumu kwa mtu mmoja mmoja kudai haki yake, na ndio maana kuna cwt, ila tatizo cwt haifanyi kazi yake, vinngozi wa cwt wapo tu kwa ajili ya kutafuna pesa na kunenepeana, e.g Oluoch.
 
Pigeni chini hiyo mijitu, bro huo ni uonevu uliopitiliza yaani ningekuwa nasoma ualimu ningeachilia mbali....kwnn isitengwe majeti na serokali au wskakatwa wabunge mawaziri na wanasiasa wengine?

mwalimu njoo UKAWA tujenge hii nchi tuache kudhalilishana nakutengenezeana stress kwa mambo yakijinga
 
Back
Top Bottom