Waalimu wapya jiandaeni kisaikolojia

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Waalimu wapya wengi hawajapewa hela ya kujikimu kuna uwezekano mkubwa wa watu kutopata mshahara mwezi huu.

Na wengi na wameambiwa warudi wa7 shule zitakapofunguliwa. Na kuna tts kua mshahara hadi wa7.ukitazama upande mwingine vyuo vikuu wanagoma hawajapewa.

Kuna hali ya hewa mbaya Dalili ya mvua ni?
 
ii ndo Tanzania nchi yenye amani na mali nyingi ila matatizo ayataisha maana ubinifsi na utapeli umetawala adi maofisini
 
Ile bilion600 itakaporudishwa labda ndo watapata subsistence allowance. Huku jiji la Arusha yaani wamegoma kutupandisha madaraja wanatupiga tu tarehe yaani hii inauma sana.
 
kweli serikali hii imefilisika kuna mdogo wangu amepangiwa ukerewe kanambia pesa ya kujikimu wamepewa laki moja tena baada ya kushinikiza sasa katika hali ya sasa laki nikitu gan?
 
Ile bilion600 itakaporudishwa labda ndo watapata subsistence allowance. Huku jiji la Arusha yaani wamegoma kutupandisha madaraja wanatupiga tu tarehe yaani hii inauma sana.

Mkuu subir inawezekana madaraja tutapandishwa hiv karibun mana wahusika wa kupandisha madaraja ni TSD hlf ndio walikaa kikao tarehe 7 mwez huu ivyo nazan inatakiwa usubir barua ya kupandishwa daraja. NI MTAZAMO TU LKN SIO YA KIOFISI MKUU
 
Kwanin walimu wanaonewa na si madaktari
 
Kwa iyo Dr madhara yake ni hapohapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…