Jenseny JF-Expert Member Joined Jan 26, 2011 Posts 1,743 Reaction score 1,738 May 15, 2015 #21 vumilieni me nliajiriwa mwaka jjana nliishi miez minne bila mshahara nlikua nadandia dandia tu kwa walimu wengne nashukuru sasa maisha yanaendelea
vumilieni me nliajiriwa mwaka jjana nliishi miez minne bila mshahara nlikua nadandia dandia tu kwa walimu wengne nashukuru sasa maisha yanaendelea
chichimizi JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 1,074 Reaction score 339 May 15, 2015 #22 Bado napa imani na serikali yangu sikivu