Waalimu wapya na maisha ya kijijini

Waalimu wapya na maisha ya kijijini

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Profesa Muhugo waziri wa Elimu akitamka kwa ubabe na ukali katika mwaliko wa mahafali ya4katika chuo kikuu Mkwawa,alisema waalimu wote watapangwa kijijini,nawashauri muvumilie,mie nlipangwa matipwili Bagamoyo,hakuna umeme,nikazoea maisha ya kijiji
 
yote ni maisha mjomba,,mjini tuwaachie walio struggle na cc tukatengeneze bush mbona kutoka kupo.:target:
 
Ni vyema 2kafanya kaz mahal popote pale 2pangiwapo,2cwe na kibur jaman!
 
Profesa Muhugo waziri wa Elimu akitamka kwa ubabe na ukali katika mwaliko wa mahafali ya4katika chuo kikuu Mkwawa,alisema waalimu wote watapangwa kijijini,nawashauri muvumilie,mie nlipangwa matipwili Bagamoyo,hakuna umeme,nikazoea maisha ya kijiji

We mwalimu gani hata waziri ako wa elimu humjui, sasa watoto wetu mnaenda kuwafundisha nini jamani? Kumbe uko uliko pangiwa porini sawatu.
 
Profesa Muhugo waziri wa Elimu akitamka kwa ubabe na ukali katika mwaliko wa mahafali ya4katika chuo kikuu Mkwawa,alisema waalimu wote watapangwa kijijini,nawashauri muvumilie,mie nlipangwa matipwili Bagamoyo,hakuna umeme,nikazoea maisha ya kijiji

hakiyamungu kama wewe ni mwalim kwel tumekwisha mulugo u professor kautoa wapi? hata jina tuùmekosea mwéh walimu hao
 
Error Occured sb matamshi nliyasikia ila Jina hakutamka na katika kutambulishwa sikusikia JINA.Common mistakes
 
Acheni kujidanganya mbona walimu kibao wamepangiwa mjini.Hayo ni maneno ya serikali 2.
 
Basi ilikua mikwala ya waziri
 
Profesa Muhugo waziri wa Elimu akitamka kwa ubabe na ukali katika mwaliko wa mahafali ya4katika chuo kikuu Mkwawa,alisema waalimu wote watapangwa kijijini,nawashauri muvumilie,mie nlipangwa matipwili Bagamoyo,hakuna umeme,nikazoea maisha ya kijiji

huo uprofesa kautoa wapi!!!??
 
common mistakes kwenye matamshi ya mwalimu, hii ni disaster kwa maendeleo ya elimu nchini
 
Back
Top Bottom