BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 5,950
- 11,295
Profesa Muhugo waziri wa Elimu akitamka kwa ubabe na ukali katika mwaliko wa mahafali ya4katika chuo kikuu Mkwawa,alisema waalimu wote watapangwa kijijini,nawashauri muvumilie,mie nlipangwa matipwili Bagamoyo,hakuna umeme,nikazoea maisha ya kijiji