Waalimu wazoefu tushauriane kwa hili

Waalimu wazoefu tushauriane kwa hili

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Waalimu nilienda kusoma bila ruhusa na nimeripoti toka 8/8/2014 na niliandika barua ya kurudishwa kwe payroll na ikapitishwa na Mkurugenzi na akapeleka suala langu TSD.Nimewasiliana na DEO kua nibaki au niondoke kazini akadai nimwone afisa utumishi.Nikamuona afisa TSD akasema wanaangalia sheria na hawataki waegemee kwa mkurugenzi wala mimi.TSD wamedai wanakusanya vielelezo kua kwa nini nilifungiwa mshahara.Hadi leo sina barua ya onyo na kusimamishiwa salary na faili langu halipo nimefungua jipya.Je nitegemee nini hapa kwa hali hii?
 
Hapo matatizo umejiletea mwenyewe kwa nin ulienda kusoma bila ruhusa mkuu
 
hapo unaweza kuta mshahara umepigwa na halmashaur ....lkn kazn na mshahara utapata.....na kama cv inaruhusu......chepuka I mean tafta private.
 
Kisigazi nlikua nshaomba nkahamishwa shule ikawa hakuna namna na ilikua mkopo wa chuo umekubali safi
 
Na TSD ndio wanifanyia hukumu ndio watakaofanya nirudishwe au la
 
Back
Top Bottom