Septemba 6AM
Member
- Aug 23, 2025
- 8
- 21
Aluta...
Siku 13 zimebakia. Jambo letu linaenda kukamilika kikamilifu. Tunaenda kuonyesha ulimwengu Legacy ya Nyerere. Ukombozi.
Ambia wanachadema, Sukuma gang, na Wakristo wote wenye smartphone wapakue VPN app zenye security nzuri.
Tutafanya tofauti, maandamano yetu hayatafanana na mengine yanayoendelea huko. Yetu ni kudai roho za wenzetu waliouwa kinyama na kupotezwa bila huruma. Hakika watalipia kila chozi na hisia za maumivu ya watu wetu.
Nawakumbusha. Kuweni wapole siku hizi chache. Msipige pige kelele. Tangu jumapili nimeambiwa internet cafe wamejaa makachero kufuatilia wanaoingia na kutoka. Baadhi ya wamiliki na wasimamizi wa Cafe hizo wamepewa pesa. Msiende huko.
Wiki lijalo nitawatumia programu maalum ya mawasiliano kwa njia ya ujumbe na call. Tarehe 28 usiku mtapewa muongozo wa kimtandao na field namna ya kuanza jambo letu. Hakikisheni siku hiyo adui zetu kila mmoja anahangaika kwaajili yake mwenyewe. Anajilinda mwenyewe wasipate muda wa kulindana. Idadi yao ni ndogo. Hiyo ndio njia pekee ya kumaliza jambo letu mapema. Asitoroke Mtu. Nawahakikishia katika hili tutavuka salama.