Wahini CAS mkashitakiKwanza nawapongeza wachezaji wa Simba kwa ari kubwa ya kupambana uwanjani walioinesha leo. Wamepigana kiume sana kuigania timu yao.
Lkn kwa upande mwingine, maamuzi tata ( in favour of Simba) yameendelea tena leo pale kwa Mkapa. ......watu wamenyimwa penati na pia goli lao limekataliwa. Wala huhitaji kurudia kuangalia matukio hayo zaidi ya mara moja. Ikumbukwe kuwa ktk ligi ya NBC kumekuwa na utata mwingi wa kimaamuzi dhidi ya timu pinzani zinapocheza na Simba. Leo hata wachambuzi hawajatofautiana katika ruling ya matukio husika. Clear goal, clear penati
Nimeanza kuogopa
Naunga mkonoKwanza nawapongeza wachezaji wa Simba kwa ari kubwa ya kupambana uwanjani walioinesha leo. Wamepigana kiume sana kuigania timu yao.
Lkn kwa upande mwingine, maamuzi tata ( in favour of Simba) yameendelea tena leo pale kwa Mkapa. ......watu wamenyimwa penati na pia goli lao limekataliwa. Wala huhitaji kurudia kuangalia matukio hayo zaidi ya mara moja. Ikumbukwe kuwa ktk ligi ya NBC kumekuwa na utata mwingi wa kimaamuzi dhidi ya timu pinzani zinapocheza na Simba. Leo hata wachambuzi hawajatofautiana katika ruling ya matukio husika. Clear goal, clear penati
Nimeanza kuogopa
Aliyefunga ni huyo aliyeoneshwa mshale, angalia alipo na alipokuwepo Kanoute. Hao wegine hawakugusa mpira. Halafu kama wanaadhibiwa kwa kuuingilia mchezo vipi Kagere aliyeuruka mpira je hakuingilia mchezo wakati akiwa yupo kwenye nafasi ya kuotea (offside position)[emoji23][emoji23]
Mkuu mi si Simba ila lile halikuwa goli, offside ya watu wanne unaita goli acha kunywa mataputapu uone vizuri.
Tz hatutaki VAR wako hapa hapa[emoji23][emoji23]
Mkuu mi si Simba ila lile halikuwa goli, offside ya watu wanne unaita goli acha kunywa mataputapu uone vizuri.
Kwanza nawapongeza wachezaji wa Simba kwa ari kubwa ya kupambana uwanjani walioinesha leo. Wamepigana kiume sana kuigania timu yao.
Lkn kwa upande mwingine, maamuzi tata ( in favour of Simba) yameendelea tena leo pale kwa Mkapa. ......watu wamenyimwa penati na pia goli lao limekataliwa. Wala huhitaji kurudia kuangalia matukio hayo zaidi ya mara moja. Ikumbukwe kuwa ktk ligi ya NBC kumekuwa na utata mwingi wa kimaamuzi dhidi ya timu pinzani zinapocheza na Simba. Leo hata wachambuzi hawajatofautiana katika ruling ya matukio husika. Clear goal, clear penati
Nimeanza kuogopa
Wewe hauoni mpira upo kwenye motion huo? Angalia vuzuri utaona ni tukio ambapo mpira umepigwa. Au huoni huo mpira umeinuka juu?Hiyo umeweka kabla mpira haujapigwa. Mpira wakati unapigwa kanoute alivutwa nyuma na wapinzani 4 wakawa offside. Rudia clip taratibu. Clear offside.
aliyewaita Utopolo aliangalia mbaaaali sanaYani mtu anafungua uzi kama huu?