Kwanza nawapongeza wachezaji wa Simba kwa ari kubwa ya kupambana uwanjani walioinesha leo. Wamepigana kiume sana kuigania timu yao.
Lkn kwa upande mwingine, maamuzi tata ( in favour of Simba) yameendelea tena leo pale kwa Mkapa. ......watu wamenyimwa penati na pia goli lao limekataliwa. Wala huhitaji kurudia kuangalia matukio hayo zaidi ya mara moja. Ikumbukwe kuwa ktk ligi ya NBC kumekuwa na utata mwingi wa kimaamuzi dhidi ya timu pinzani zinapocheza na Simba. Leo hata wachambuzi hawajatofautiana katika ruling ya matukio husika. Clear goal, clear penati
Nimeanza kuogopa