Waamuzi dhidi ya mechi za Simba

Kanye ulale kesho alfajiri uamkie Cas kushitaki
 

Offside inaamuliwa wakati mpira unapigwa, mfungaji yupo kwenye position ipi onside au offside position.

Kuhusu mkono kuzidi sio kweli, angalia vizuri position ya kichwa cha Kanoute vs mkono wa huyo mchezaji
 
[emoji23][emoji23]
Mkuu mi si Simba ila lile halikuwa goli, offside ya watu wanne unaita goli acha kunywa mataputapu uone vizuri.
Mm shabiki wa Simba kindaki ndaki ila ile ni penalty na lile ni goli wala co offside, ni kweli kuna wachezaji wa Berkane walikuwa offside lkn aliyefunga alikuwa nyuma ya mchezaji wetu, yani tumebebwa wazi wazi kabisa.

Alafu muda wa nyongeza pia tumebebwa, mpira ulisimama kwa takribani dk 6 lkn refa akaongeza dk 4 alafu ndani ya hzo dk 4 zimechezwa mbili, tunamshukuru refa na waamuzi kwa ujumla, Simba nguvumoya.
 
Hayo unayaona kwa sababu ya malalamiko.Na hii ni ugonjwa wa utopolo na waliwaambia mlalamikie waamuzi.

Kama unaangaliaga mechi za ulaya nikukumbushe fainali ya Chelsea na Liverpool. Kama huwa huangalii,baki na utopolo yako iendelee kuwaliwaza na misukule wenzio
 
😂 Msinichoshe Mambo yao tuwaachie wao walete var
 
Mtu na mkewe wamepigwa na kitu chenye ncha butu
 
We ni uto acha makasiriko

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Uelewa wako na kiwango chako cha ukomavu ni mdogo sana
Wivu umekujaa hadi kwenye koo. Ulidhani na kuombea Simba wafungwe siyo. Simba ni level nyingine kitaifa na kimataifa. Ngurumo zake huwa zinatetemesha mbingu na ulimwengu!
 
Mashabiki wa Yanga imewauma utadhani ndo timu yao imecheza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…